Report ya Jairo full text

Report ya Jairo full text

Ataacha kila kitu kibaki kama kilivyo,ataendelea kukenua kenua kama kawa. Katiba inampa madaraka ambayo hawezi kushinikizwa kufanya maamuzi. After all hahitaji kura zenu tena.
 
siwezi ku prove ila najua kuwa Ngeleja alijua kilichokuwa kinaendelea, na baada mambo kwenda mrama kwa mara ya kwanza na Jairo kusimamishwa najua pia J.K alijua kila kitu kilichotoke,...
j.k atakuwa anawaza nini kwa sasa kuhusu uamuzi wa kufanya,wote tunamjua J.K na naamini tunaweza kujua ( kwa kutumia uzoefu) kitu gani anachowaza J.K kuhusu hiyo kashwa na uamuzi gani atachukua,hebu tuweke hapa chini basi,
Mkuu, tungekuwa na hali nzuri sana kama tungekuwa na kiongozi anaywewaza na asiye muoga kuchukua maamuzi magumu. I can put by one cent kuwa haya wala si mambo yanayousumbua ubongo wa JK, ye anaona mambo ya kawaida tu, hivyo wala haimuumizi kichwa kuwa eti kuna hatua mahsusi anayopaswa kuchukua
 
kweli, huyu J.K anaweza kula kimya tu,km hakuna kilichotokea
 
Mmejaa speculation zisizo na msingi. Mwacheni afanye maamuzi bila shinikizo lenu. Bunge limeshaamua, mnataka nini tena?

kwahyo tukae kimya??????we nani,wewe kaaaa kimya
 
J. K ni kikwazo kwa maendeleo ya CCM na taifa kwa ujumla, hili hata yeye analijua.
Anacheka na nyani makusudi ili tuvune mabua.
 
siwezi ku prove ila najua kuwa Ngeleja alijua kilichokuwa kinaendelea, na baada mambo kwenda mrama kwa mara ya kwanza na Jairo kusimamishwa najua pia J.K alijua kila kitu kilichotoke,...
j.k atakuwa anawaza nini kwa sasa kuhusu uamuzi wa kufanya,wote tunamjua J.K na naamini tunaweza kujua ( kwa kutumia uzoefu) kitu gani anachowaza J.K kuhusu hiyo kashwa na uamuzi gani atachukua,hebu tuweke hapa chini basi,

Usituchekeshe. JK Anawaza?

Kuwaza au kufikiri ni kitendo ambacho kinahusisha ubongo kufanya kazi kwa namna fulani au namna yoyote hadi kufikia uamuzi fulani. Kuchekacheka, kutabasamu au kukenua meno siyo mojawapo ya tija za kuwaza.
 
Hakijui kisa cha Waziri Mkuu Lowasa? mnanchekesha!
 
m.kwere thinking! Mmh its tough one I know the guy never thinks he just react
 
huyu hana tena uchungu na ccm,wameshampa kipindi cha pili anamalizia,kimbembe watakaofata,atawaacha tu mafisadi wajinafasi
 
Mmejaa speculation zisizo na msingi. Mwacheni afanye maamuzi bila shinikizo lenu. Bunge limeshaamua, mnataka nini tena?

Unaonekana usha kula advance toka kwa JAIRO. Kinakuuma nini watu kutoa maoni yao. Jamaa kasema mtazaa nao tu. Mpaka kufika 2015!!
 
To be a leader, you must
stand for something,
or you will fall for anything.

I agree kabisa. Hili ni tatizo kubwa zaidi ya Ngereja na Jairo. Ni tatizo la mfumo mzima unaondesha mambo kwa niaba yetu.
 
akiwafukuza kazi watamuumbua ile kashfa ya IPTL itabidi akae kimya
 
Kama hakuwaza DOWANS atawazaje kuhusu Jairo na Mwanangeleja? Isha kula kwetu tu. Tukalie madot com yetu tu. La sivo kajialkaida. Ndo watajua kuwa mmefika mbali.
 
atamwomba jairo ajiuzuru kwa hiari, kisha atampangia ulaji mwingine kwenye ubalozi au shirika la kimataifa. Luhanjo ataambiwa mkataba wake wa kufanya shughuli za umma umesimamishwa kisha atachukua kilicho chake na kuendelea kula pension yake, ngeleja na malima wataambiwa ushahidi hautoshi kuwachukulia hatua za kinidhamu badala yake wataendelea na nyadhifa zao na watasisitiziwa kuendelea na dili zao lkn kwa umakini na kitaalamu zaidi. kwisha mchezo!!!!!!!!!!!
 
akiwafukuza kazi watamuumbua ile kashfa ya IPTL itabidi akae kimya

Waza kwanza, alipataje urais. Ukishajua hilo ndo utajua hatua atazochukua. Mwizi kaweka wezi, afu mwizi awafukuze wezi!! Ataonekana anafukuza afu wakifika uchochoro wanapiga pasu. Utackia aliyefukuzwa anapelekwa kwenye sekta ingine. Afu kwao apokelewa ka' shujaa, na gari lake kusukumwa. Hapo ndo utachoka na hii inji.
 
Kuwaachisha?
Sema atleast walale cku 4 segerea,il kuwazuga raia
Kama watanzania watashinda kesho Jumatatu bila kusikia kuwa Rais kawaachisha kazi Luhanjo na Jairo basi Kikwete atajiwekea record nyingine mbaya.
 
Hapa JKM anawasiliana na Rostam Abdulasul kujua anawaza nini kuhusu Ngeleja, maana yupo palekwa maslahi ya RAA. Pamoja na kuwa yuko nje ya macho ya waandishi wa habari (maana huu ndio utamaduni wao), lakini bado ana sauti Ikulu kwa kuwa alimweka JMK kitini!
 
Back
Top Bottom