RENZO na VIRAGO!! HOJA BINAFSI

RENZO na VIRAGO!! HOJA BINAFSI

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,845
Wakuu hii kashfa ya MAMA salma na Dada yake kabila ningependa ijadiliwe, tena kama hoja binafsi

Kwanza.

  • Ndugu zetu mnaokaa Dar es Salaam hususani MIKOCHENI, ningependa mtujuze ni kweli maduka haya yapo (RENZO na VIRAGO)?? na kama yapo nikweli yanauza "VITO vya thamani vya madini" na nguo za gharama za "DISIGNERS"

Pili.

  • Ni kweli maduka haya hayapo popote kwenye vitabu vya TRA? na hayajawahi kulipa hata senti tano (thumni) ya kodi katika nchi hii?? (najua kuna watu wa TRA hapa JF)
  • Je kama kuna yeyote amewahi kununua katika maduka haya, je ulipewa receipt?? wana EFD machine
Tatu

  • kama kuna mwenye ACCESS au anafanya kazi kwa msajili, Je maduka haya yamesajiliwa mmiliki wake ni nani?
NNe.

  • JE First lady au hata WAPAMBE WEAKE, wamewahi kuonekana katika viunga vya maduka haya??
  • Je kuna yeyote mwenye taarifa kuhusu huu urafiki wa SALMA KIKWETE na Dada yake KABILA na bisahara za MADINI zisizo rasmi wanazofanya ??

Kama huna detail please usiweke za uongo.

Wakuu hii RENZO ukiiangalia vizuri ni RZ ONE (Kuna chochote hapo)
 
hoja yako ni mfu na imejaa hadithi za kumfurahisha kagame na wauaji wenzake
 
hoja yako ni mfu na imejaa hadithi za kumfurahisha kagame na wauaji wenzake

Mkuu msingi wa hoja yangu ni kujua UKWELI wa hii kashfa ndo maana nimekuwa very specific katika detail. Kama M
 
Wewe mwenyewe huna details ndiyo maana unataka watu wachangie ili uweze kufahamu kwa hiyo pokea mchango wowote ule utakaoupata humu. Ungekuwa na details ungekuja na fact ili wale tu kwa kusema maduka ni ya flan na kweli mama anafanya biashara na dada yake Kabila
 
hoja yako ni mfu na imejaa hadithi za kumfurahisha kagame na wauaji wenzake

Mkuu msingi wa hoja yangu ni kujua UKWELI wa hii kashfa ndo maana nimekuwa very specific katika detail. Kama mtanzania ni lazima nitafute ukweli hasa swala linapohusu ukwepaji KODI..Ushabiki hauna nafasi, lakini sitaki kujilaumu baadaye kwa kutokuhoji haya maswala. kama una detail kuhusu ukweli au uongo wa swala hili weka mkuu
 
Mkuu msingi wa hoja yangu ni kujua UKWELI wa hii kashfa ndo maana nimekuwa very specific katika detail. Kama M
uko kwenye mstari mkuu, inaonesha dhahiri kwamba kabla ya kuanza kuongea chochote lazima kufanya utafiti angalau wa juu juu kuona kama kuna madudu yanaendela, endelea na utafiti!
 
Apa utambulia matusi tu toka kwa hawa mapunda ya lumumba
 
Hii hoja huenda ina ukweli...twamsakama kagame kuiba madini Congo kumbe High Table sikivu wanafanya yao ndani ya nchi yetu
 
uko kwenye mstari mkuu, inaonesha dhahiri kwamba kabla ya kuanza kuongea chochote lazima kufanya utafiti angalau wa juu juu kuona kama kuna madudu yanaendela, endelea na utafiti!

Hii ni njia moja wapo ya utafiti mkuu, kukusanya maoni na taarifa kwa GT
 
NAwazia hawa viongozi wetu wanaojifanya wana uzalendo na nchi hii...kumbe wana uzalendo na ufisadi wanao ufanya kwenye nchi hii, jana nimeangalia cinema ya Mandela, kisha nikalinganisha na hawa viongozi wetu, machozi nusu yanitoke, yaani aibu tupu. alafu wana jidai hii ni nchi ya amani, na chakushangaza kupitiliza wengine wana subiri tuzo ya Dr. Mo kwa uongozi uliyo tukuka. Amakweli nchiimepoteza dira
 
utafiti unafanyikaje kwa maoni ya watu, ni na wasi wasi na ukweli wa hili

na wasiwasi na elimu yako....kwa iyo utafiti hauhusishi maoni ya watu????? DIV 5
 
hivi hamjiulizi kwanini Propaganda zao Rwanda mara zote wana exclude Mh J K kiwete na Tanzania ili wa win cheap propaganda?muda huohuo wanasahau na kumjumuisha PK na Rwanda?
"Huu ni uoga.....ambao madhara yake wanayajua"-hii ndo jibu lake na sio kila unaloambiwa ni la kweli wakuu tumieni medulla oblangata kidogo on this fabrications issues
 
Mkuu msingi wa hoja yangu ni kujua UKWELI wa hii kashfa ndo maana nimekuwa very specific katika detail. Kama M
wewe unapajua mikocheni ama hupajui!? Na kama unapajua kunauzitogani wewe kupita kujionea hayo unayoyauliza hapa maana hayo maduka yapo barabarani kabisa hata kama huna gari daladala tu linatosha maana ukishuka tu unaingia..au kama hupajui sema nikuelekezea
 
utafiti unafanyikaje kwa maoni ya watu, ni na wasi wasi na ukweli wa hili

Kumbe Wewe Ndio Aujielewi! Information Search Ni Moja Ya Njia Za Kufanya Utafiti, Kuna Interviews, Kuna Questionaire Ndicho Kitu Kilichopo Hapa. Kuna Forums Zinafanya Research Online Na Zina Draft Good Conclusion. Unachotakiwa Kufanya Ni Kuingza Details Unazozijua Na Kama Haujui Ni Bora Upige Kimya Tu
 
Wanamtaja kikwete kwa mabaya kwa kuwa wanajua hana roho mbaya wala makuu kama pk ambaye anaweza pig a bomba popote pale
 
wewe unapajua mikocheni ama hupajui!? Na kama unapajua kunauzitogani wewe kupita kujionea hayo unayoyauliza hapa maana hayo maduka yapo barabarani kabisa hata kama huna gari daladala tu linatosha maana ukishuka tu unaingia..au kama hupajui sema nikuelekezea

Wewe Kila Jf Users Unajua Kuwa Yuko Dsm Ndo Akili Yako Ilipogota? Kna Watu Wako Abroad, Hawana Haki Ya Kuhitaji Info? Yaani Mtu Akienda Tofauti Na Mawazo Yako Tu Kero! Acheni Hizo Waungwana.
 
Yapo tena road tu ila sina details maana sijawahi kuingia au kuwepo mitaa hiyo kwa muda mrefu kiasi cha kujua nini kinaendelea hapo.
 
wewe unapajua mikocheni ama hupajui!? Na kama unapajua kunauzitogani wewe kupita kujionea hayo unayoyauliza hapa maana hayo maduka yapo barabarani kabisa hata kama huna gari daladala tu linatosha maana ukishuka tu unaingia..au kama hupajui sema nikuelekezea

Nan kakwambia kila member anakaa dar mkuu??? asante kwa kunijuza kuwa yana exist, labda unajua kuhusu hayo mengine tunayohoji??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom