RENZO na VIRAGO!! HOJA BINAFSI

RENZO na VIRAGO!! HOJA BINAFSI

Hamuwezekani kwa umbea na kuharibia wengine,yakwenu yana poromoka siku hadi siku,yani jinsi nawaona nikama jirani mchawi,sahii pk yuko califonia anatoa lecture kwa wawekezaji,nyie mmekalia eti rwanda wanaiba mawe congo,mmezoea vya wizi ilimtajirike,kwataarifa yako sio maendeleo yote huletwa na wizi.

Operation haijakufikia sio?
 
Wananchi wa Rwanda ni solid majority. Wanamsapot kila anaetumia mtutu kutawala. Inasikitisha
 
Siwezi umiza ubongo wangu kutumia analytical skill yangu ku analyze majungu...kwa sababu conclusion yeyote inayotokana na wrong assumptions (premise) ni false....


Maduka ni moja tu....
Lakini kuna kukwepa KODI na Maduka kutumika kufanyia biashara haram ya madini a.k. blood minerals
Pia uhusika wa NDUGU YA Kabila....lazima tuhoji mkuu.

Mbona marekani walipomsema yule "MAMA" kuwa ni mfanya biasara maarufu wa madawa ya kulevya walikurupuka haraka kumkamata....was it not from a mare external source.

You should learn to be objective, focused, and improve your analysis skills especially on "root course analysis"
 
Siwezi umiza ubongo wangu kutumia analytical skill yangu ku analyze majungu...kwa sababu conclusion yeyote inayotokana na wrong assumptions (premise) ni false....

Una uhakika 100% kuwa habari hii ni majungu?
 
Mimi nimeshanunua vitu mara nyingi nguo viatu na ni kweli sikumbuki kama nimewahi kupewa risiti ya aina yoyote, ila hata juzi alhamisi nimesimama hapo virago na kukuta wamefanya partition ila mzigo bado ni ule ule wa mwaka jana, hebu watu wa tra tupatieni majibu na kama hawalipii kodi kwa nini bado vitu vyao ni aghali?
 
Mdau sio wote wanaishi Dar wengine hawapo Tanzania. Tumia ubongo usioneshe ujinga wako kwa kijifanya mjuaji kumbe muungua jua tu. Huna cha kuchangia tulia soma kisha subiri wenye mawazo na michango wachangie.

Naogopa kuchangia!!! Daah?
 
Sawa sawa kabisa!!
Kwa Viraza Wote Ambao Wanambeza Mleta Mada. Majibu Yashaanza Kupatikana Kuwa Haya Maduka Yapo

1. Inaonyesha Kwenye Habari Ya News Of Rwanda Kuna Chembe Ya Ukweli Hata Kama Wamepresent Kipropaganda

2. ---- Ukweli Wa Kwanza(uwepo Wa Hayo Maduka Katika Sehemu Husika) Umedhihilika, Kwa Nini Tupuuzie Hoja Nyingine

Mleta Mada Ana Hoja Ya Muhimu Napenda Apewe Ushirikiano
 
NAwazia hawa viongozi wetu wanaojifanya wana uzalendo na nchi hii...kumbe wana uzalendo na ufisadi wanao ufanya kwenye nchi hii, jana nimeangalia cinema ya Mandela, kisha nikalinganisha na hawa viongozi wetu, machozi nusu yanitoke, yaani aibu tupu. alafu wana jidai hii ni nchi ya amani, na chakushangaza kupitiliza wengine wana subiri tuzo ya Dr. Mo kwa uongozi uliyo tukuka. Amakweli nchiimepoteza dira

Hakuna uzalendo
 
Hoja ina mashiko, nina wasiwasi na wanaoponda huenda ndiyo walee! KIKULACHO KI NGUONI MWAKO, MARAIS KARIBIA WOTE WANA "MIRADI" NA MISSION ZAO ZA SIRI!
 
msidhalilishe mke wa rais na dada wa kabila. Maduka yale yana hadhi ya kumilikiwa na Kina Snura,Isha Mashauzi na Dida wa Mchops!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom