look here youngman, Kagame anaweza kuwa anafanya makosa na anafanya kweli,lakini hapa JF tunawajibu wa kujibu hoja kwa evidences.kama huna subiri walionazo.jukumu letu hapa ni kujitofautisha na habari za kiudaku! Ni rahisi kuja na counter evidences to prove him wrong.kama tukijua ni uongo tunaweza kusonga mbele na kujiuliza what was his motive behind? kumbuka washirika wa Kagame wamo humu na pengine hata yeye mwenyewe yumo.Kama ni kweli pia tutajiuliza nini anakitaka? pengine anataka aondoe amani ndani ya TISS ili waanze kutafuta nani msaliti au hata ikulu iache kuwaamini baadhi ya watu ndani ya TISS.watakuwa wamegawanyika they will be no longer one! kumbuka jeshi lililogawanyika haliwezi kushinda vita.TUSINGIE KWENYE MTEGO WAKE BLINDLY,Tuchunguze tuwe na ukweli ndio tunaweza kumkabili ki propaganda,hewani na ardhini.hope umenielewa.