Mdau sio wote wanaishi Dar wengine hawapo Tanzania. Tumia ubongo usioneshe ujinga wako kwa kijifanya mjuaji kumbe muungua jua tu. Huna cha kuchangia tulia soma kisha subiri wenye mawazo na michango wachangie.wewe unapajua mikocheni ama hupajui!? Na kama unapajua kunauzitogani wewe kupita kujionea hayo unayoyauliza hapa maana hayo maduka yapo barabarani kabisa hata kama huna gari daladala tu linatosha maana ukishuka tu unaingia..au kama hupajui sema nikuelekezea