The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,258
- 2,562
Madame
wozzaa..Madame
Tema cheche vijana tupate hela za ziada za kuhonga πwozzaa..
Huoni mimi mwenyewe nimekaa kabisa hapo niokote chochote kitu πTema cheche vijana tupate hela za ziada za kuhonga π
Hahaha wewe sina cha kusema leo
Miyeyusho tu kudadek zakoHuoni mimi mwenyewe nimekaa kabisa hapo niokote chochote kitu π
Tuliza mshono kijana, tema madini kama uko nayo!Miyeyusho tu kudadek zako
Ohoo shukrani mkuuFeever & Upwork. Niliweka account ila sijawahi apply kazi yoyote so sina experience
Tengeneza Linkedin Account, chagua topic ama profession moja na izungumzie kama expert
Jiungamanishe na watu walio katika industry moja, hapa utapata madini zaidi na chocho za kupita. (Kuwapata hawa, ukishaingia kwenye hiyo platform angalia watu wanaongelea au waliofanikiwa katika unachofanya)
Ukifanya haya, Utapata tu clients hata wa bongo ama kuna kazi international utapata pia maana kwenye job section ya linkedin, kuna remote works pia
Japo, tatizo la wengi wanataka remote working ama freelancing na hata hiyo skill ya kuuza hauna au la unataka uanze leo kesho uanze kupata pesa. Haipo hivyo
Amen πMungu atuepushe na Matatizo ambayo pesa haiwezi Kutatua...
Oh sawa mkuuJapo ume chelewa ila most of the works zinahusu ai kwa sasa, ku train ai kwa kuli feed data.
cheki kurasa za wakenya, mara nyingi utaona maana wako updated japo siku hizi malipo yana zingua kidogo.
Hiyo kutrain AI, huwa naona posts za kutrain kiswahili na huwa wanatafuta watanzania. Ila nikiziona twitter huwa siziamini sana maana Baraka Mafole huzipost sanaJapo ume chelewa ila most of the works zinahusu ai kwa sasa, ku train ai kwa kuli feed data.
cheki kurasa za wakenya, mara nyingi utaona maana wako updated japo siku hizi malipo yana zingua kidogo.
Pamoja ππ½Ohoo shukrani mkuu
Hizo zipo ila kawaida, kuna zile ku train ai robots kwa vitendo au ishara.Hiyo kutrain AI, huwa naona posts za kutrain kiswahili na huwa wanatafuta watanzania. Ila nikiziona twitter huwa siziamini sana maana Baraka Mafole huzipost sana
Wakenya na Wanaija wana dunia tao. Ukiangalia earnings zao ni hatari na wana ushirikiano sana. Bongo mtu akijua kitu hasheiHizo zipo ila kawaida, kuna zile ku train ai robots kwa vitendo au ishara.
Una lipwa kwa saa, ku train lugha au info fulani.
wakenya wapo ahead mzee.
Kaka jioni ya leo nimeona namba fulani, halafu za dogo wa 2007 hapo sio poa.Wakenya na Wanaija wana dunia tao. Ukiangalia earnings zao ni hatari na wana ushirikiano sana. Bongo mtu akijua kitu hashei
Sema nimefikia umri ambao nikiona kama kuna numbers inabidi mimi nifanye sio kulaumu wengine kwa nini hawafanyi