Huu ndiyo uhalisia ambao hata yeye Diamond alipaswa aimbe
Aibu kwa Domo mtoa kafara
A challenge.... Watu wanaandamana mioyoniJamaaa anaitwa Cyrus Engine yuko vzr sana kwa kupiga hizo kazi
Kwa kuandika comment mbilimbili huku umelegeza mwili unaonekana wewe ndo una stressaibu sana VODACOM wamepuuza upuuzi wako huna haya aibu yyako hiyo
Ma house boy wa Mond mna wivu sanalara 1 wewe ajuza kumbe upo? stress zako za maisha unazihamishia kwa Diamond....huna hadhi hata ya kuwa house girl wa diamond...
Kautengeneza kacopy wa simbaWimbo mzuri ukizingatia kautengeneza ndani ya siku 2 au 3
KatengenezaKautengeneza kacopy wa simba
Umemshindwa kwa Voda sasa fitina unazileta kwa style hii....
Huyo sio houseboy bali mwandani wakeMa house boy wa Mond mna wivu sana
Huyu msaani ndo SIMBA sio kile kipaka shume, kujikomba kwa Bashite daily. SHAMELESS SOUL. Anaona sifa kutafuta kiki mpaka kwa Lucifer, eti Simbamson ! Mtoto wa Kiislamu unakaba kiki mpaka kwa shetani, mxiuuuu! Leo Simbamason kesho anajenga msikiti. Labda Nyaumason.
Dogo japo umeiba hhii biti na intellectual property ila MESSAGE YAKO TUMEIPOKEA SANA. We live in desperate times so desperate measures are inevitable.