Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Yuko vizuri kuiga kazi walizoandaa wengine!!!!!!!Jamaaa anaitwa Cyrus Engine yuko vzr sana kwa kupiga hizo kazi
Yuko vizuri kuiga kazi walizoandaa wengine!!!!!!!Jamaaa anaitwa Cyrus Engine yuko vzr sana kwa kupiga hizo kazi
Install app itwayo Tube mate kupitia google not play stall, kisha utakuwa uko tayari kupata vitu vikali kama hviHivi ukitaka kuwa nayo hii unafanya vipi Yani?
Pia na ile ya kumtafuta Roma tunaipataje ili tudownload
Nikajua peke yangu mkuu kuwa wimbo umenihuzunishawimbo mtamu, unaweza kulia
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu ila ni viherehere sanaHuyo sio houseboy bali mwandani wake
Aibu tupuNashukuru kwa ufafanuzi mkuu ila ni viherehere sana
Wewe ambaye ambaye unajifanya huna muda na mambo ya siasa humu umefata nini? Umetafta pesa sasa una sh ngapi?Saivi kuna vitu inabidi mkiwa mnadai muwe mnaandika majina yenu tu.Mambo ya kusema inawajali watanzania wakati me siikubali inamaana me ni mrundi.Hii movie ya kisiasa kaeni wanasiasa tu acheni watu watafute hela vyeti haviondoi umaskin.
We polmo mwenzio kafanya siri we wamtaja haya ngoja tusikie kinacho jiri juu yakeJamaaa anaitwa Cyrus Engine yuko vzr sana kwa kupiga hizo kazi
Uhuru umezidi watu kusema kweli? acha hizo ndugu baadhi ya professional zipo ili kutetea wanyonge waandishi, wanasheria, wanasiasa lengo la kazi zao ni kutetea wasio na sauti. Ndio maana mtu asipofanya hivyo anakuwa hafanyi kazi yake vizuri. hebu chunguza muziki wa south utajua kwanini wanaimba vile mara zote.Duh siku hizi watanzania tumekuwa na viherehere sana
Kila MTU amekua na kiherehhere
Wasanii viherehere
Wabunge viherehere
Wandishi viherehere
Wachungaji viherehere
Muda wa kujenga nchi unakuwa haupo
Watu wanatamani kuishi kama Sudan naona Uhuru umezidi vya kutosha
Nchi hiii shetani ameamua kutumia mitandao na wachungaji Pamoja na waandishi wa habari.
Haiwezekani wachache hawa wawatumbukize mamilioni ya wtz kwenye shida wazibitiwe ipasavyo
Mbona akina kiba,benpol na wengine kibao hawana viherehere
Wasanii siasa itawaponza acheni kutumika kisiasa,
Tupendane hizi sifa tunazotafuta usifikirie wazungu wanatuona eti ni mashujaa sisi ng'ooo
Kuna watu wanatumia gharama kuchafua nchi hii tu
Eti kwa sababu maisha yamekuwa magumu.
Ni bora punda afe mzigo ufike.