Nyati
JF-Expert Member
- Mar 6, 2009
- 2,528
- 1,917
Wakuu nipo mwanza Airport naona Dr. Lwaitama naye yupo hapa na ana ticket ya Precision kuelekea Bukoba, ngoja nitawataarifu kama atapokea maelekezo kwa Kiingereza ama atakataa tena tuwezejua kama dawa ilimwingia vizuri ama la. Tumeisha- "check in" tunasubiri kupanda baada ya saa moja kama MUNGU atapenda nitawataarifu.
Nawasilisha.
Nawasilisha.