Remembering Ben

Remembering Ben

mshana jr hii c level yako. Waachie wale ma under ground.
Kuna mtu aliandikiwa ujumbe unaosema. '......jiulize kwanini mpaka Leo upo huru....najua na hili utaandika .....lakini kumbuka ipo siku utabaki pekeyako na chatu. ..' halafu yule jamaa siku hizi simuoni
Nilipoona hii picha nikayakumbuka hayo maneno na kuwaza unapobaki pekeyako na chatu inavyokuwa
 
Dogo hayuko peke yake na chatu, kuna mpiga picha kala pozi murua....ila jamaa naya hana huruma...
 
Ben yuko mtaani anakula shushu na masela.
(Source Mwanahalisi gazeti la kada na mbunge wa Chadema Kubenea)
Mshana hapa unatukoleza bila sababu.
Badilisha hiyo headinf kuwa "unaposhambuliwa na chatu"
 
Kama hamna jiwe chukua mchanga msugue, una kucha ndefu mchubue.
Next time akikuona atakupitia mbali.
 
Kama hamna jiwe chukua mchanga msugue, una kucha ndefu mchubue.
Next time akikuona atakupitia mbali.
au mfunike kichwa kwa shati asiweze kuona, lazima atoke nduki
 
Inatakiwa na mimi nianze kufuga chatu naona tunakoenda kila mmoja ni vyema awe na chatu wake
 
Mshana jr waachie wenyewe, yasije yakatoka kwa mjambaji yakaja kwako mtema mate
 
Hiyo picha siyo ya mawindo ya chatu, labda wanaigiza.
Kiasili kuwinda kunahusisha kudhibiti viungo muhimu kama mikono na kuvunja mbavu haraka.
 
Kuiona tu hiyo picha, nikakumbuka hizi picha

upload_2016-12-30_9-59-44.png

upload_2016-12-30_10-4-11.png
 
Hiyo picha siyo ya mawindo ya chatu, labda wanaigiza.
Kiasili kuwinda kunahusisha kudhibiti viungo muhimu kama mikono na kuvunja mbavu haraka.
Haraka? Ambushing predator? Kuvunja mbavu haraka?
Ulichokiongea hakiwezi kua verified kwa sababu chatu hua hamuoni binadamu kama ni miongoni mwa chakula chake hivyo hajui aanze wapi amalizie wapi.
Katika kesi za nadra za chatu kutaka kumla binadamu wengine walitaka kuanzia miguuni wengine kichwani wakati mwingine alikaa zaidi ya masaa 3 (kama siyo siku nzima) akijaribu kuvunja mbavu na kummeza jamaa hapo Malawi.
 
Kuna mtu aliandikiwa ujumbe unaosema. '......jiulize kwanini mpaka Leo upo huru....najua na hili utaandika .....lakini kumbuka ipo siku utabaki pekeyako na chatu. ..' halafu yule jamaa siku hizi simuoni
Nilipoona hii picha nikayakumbuka hayo maneno na kuwaza unapobaki pekeyako na chatu inavyokuwa
Hii kutamkiana mabaya waziwazi halafu yanatokea yaleyale bila hatua kuchukuliwa mapema,ni kitu kibaya sana.Nataka ninunue uchawi Wa kudeal na hao wapumbavu.Ukileta mdomo tu nakupa!!!
 
Hii kutamkiana mabaya waziwazi halafu yanatokea yaleyale bila hatua kuchukuliwa mapema,ni kitu kibaya sana.Nataka ninunue uchawi Wa kudeal na hao wapumbavu.Ukileta mdomo tu nakupa!!!
 
Kama sii hofu huyo dogo angeweza kufanya ni kumng'ata huyo chatu, maana chatu huwa haponi jeraha na kwa mantiki hiyo hayuko tayari kujeruhiwa. Aji unroall na kutoka nduki!!!!

mshana jr umeihusianisha vipi picha hii na Ben?
Mpiga Picha Ni Wananchi
Chatu Ni Waliompoteza Uraian Mpk Sasa Hivi
Huyo Mtoto Ndiye Ben
[HASHTAG]#mymind[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom