Huyo mpiga picha si angemsaidia
Ni roho mbaya za watu ndio zinasababisha yote hayoMshana Jr. hii picha imenihuzunisha plus kunikasirisha kwanini aliempiga picha asimsaidie?.....au ni maigizo???
Ulaaniwe ww mpiga picha,,,,!Pekeyake na chatuView attachment 451712
[emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama sii hofu huyo dogo angeweza kufanya ni kumng'ata huyo chatu, maana chatu huwa haponi jeraha na kwa mantiki hiyo hayuko tayari kujeruhiwa. Aji unroall na kutoka nduki!!!!
mshana jr umeihusianisha vipi picha hii na Ben?