Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Sina hofu kwamba reli yenyewe itajengwa..lakini kulinhana na yale tulioyaona Kenya wale ma engineer walichukua ka mda kabla kutandika reli yenyewe, walichukua kama miezi mitatu hivi wakifanya maandalizi tu..... Kumbuka chuma cha reli chenyewe bado hakijaingia bandarini. Alafu reli yenu ni continuously wielded kwahivyo lazma mitambo ya kulaza hio reli iingie kutoka huko Turkey, alafu lazma mtambo wa kutengeneza simiti ya sleepers uwe unafanya kazi tayari ili mtenheneze sleepers nyingi za kutosheleza kama kilomita 20 za kwanza .... Ukiona km ya kwanza ya reli imewekwa ardhini hapo ndo ujue ujenzi umeanza, kwa sasa hii tunaita site preparations
Hilo linajulikana
 
Hata Hivyo, while kenya is seeing her first Rail line in 2017, Tanzanians tuna uzoefu mkubwa kwenye ujenzi wa Reli na mabomba ya Mafuta na gesi. Tumeshajenga Reli ndefu zaidi EA, na Pipelines since 1960's
, ukweli ni kuwa Tanzania ndiyo mbabe kwenye masuala ya Reli na pipelines.
Hamna uzoefu wowote , walio wajengea Tazara ni wachina ambao walitumia standards za kichina, tena hawakuwafundisha chochote watanzania manake kama wangewafundisha reli ya 1970 Tazara haingekua hali maututi, ingekua kweli mnaujuzi bado reli zingekua zinachapa full speed 100km/hr badala ya maximum 40km/hr ... Hata kama kunao waliofundishwa wengi wao wame retire sasa...


Alafu sahii SGR yenu inajengwa na mturuki. Mturuki anatumia American standard kwa hivyo wale watz watakao tafuta kazi itabidi wafundishwe american standards....



Hivyo hivyo ndo inafanyika kwa bomba, Total atatafuta mfaransa ajenge hilo bomba....


In short, ile siku Campuni ya Kitanzania itakua inajenga reli au bomba bila mafundi wakubwa kutoka nje, hapo ndo itakua sawa kusema Tz iko na uzoefu mkubwa
 
Kazi ya kutengeneza kiwanda cha mataruma (sleepers) ilishaanza na inaendelea.
What am saying is there will be alot of activities, but it'll take alittle longer before you see the actual rail on the ground..
 
hata hivyo Tanzania bado ni kati ya nchi maskini sana duniani na pia ni LDC...hizo reli za 1960s na huo uzoefu ni wa nini? lol!
Reli ya TAZARA ni 1970's na ni cape gauge standard. Reli ya Mjerumani ndio ufananisho na ile ya Kenya ya 1900s. Nyie tangu Uhuru hii ndio project yenu ya kwanza sie ya pili. Pipeline tumejenga matatu TAZAMA's Dar-Kapirimposhi oil pipeline, Dar-Songosongo gas pipeline na Dar-Mtwara gas pipeline wakati Tanga-Hoima oil pipeline starts early next year huku Dar-Kampala gas pipeline is on drafting.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hao jamaa Ni viazi!
Kila jambo lifanywalo Na hii serikali watalipinga!!
Utadhani hawatafaidika nayo!!
Hawa watu mimi huwa nashindwa kuwaelewa kabisa yaani wao huwa kila kitu ni kupinga tu.

SIJUI KESHO.
 
Aisee kumbe huu ujenzi unaendelea, hongera sana kwa serikali na viongozi wote wanaosimamia huu mradi. Binafsi nilidhani baada ya ufunguzi siku ile basi mambo ndiyo yameishia hapo yakisubiri logistics zingine. Hii inapendeza sana.
Bora wewe ni mzalendo aisee lakini humu ndani kuna watu walizaliwa kubeza tu.

SIJUI KESHO.
 
zinatengeneza pesa kwel kwel....usafiri kati ya Mombasa na Nairobi ume imarika sana...ajali za barabarani zimepungua na wakati wa usafiri umekatwa kwa asilimia hamsini....satisfied? hehe...cargo trains begin operations in the next 3 months to take ugandan goods to from Mombasa to Nairobi...it will take only 24 hrs from the previous 7 days...lol! should i continue? we have 40 ultra-modern stations between the two cities...the Nairobi one looks like an airport and the Mobasa one looks like you are in London...the tickets are bought online while before you had to make a line to give cash to matatu owners...the benefits are unimaginable...we may have diesel trains but the benefits we are raking in from them, TZ can only dream of that in 20 years...usisahau kuwa tunaeza tuka replace trains wakakti wowote...kwa hiyo, sina hofu yoyote..kazi iko kwenu sasa...nyie ndio mko bado mnajenga...
Mkalepleace mkaweka ya makaa au! Maana ya umeme mtawekaje miundo mbinu hakuna?

SIJUI KESHO.
 
yes you are financing it...which means it will take 50 years b4 u complete it...since when has a poor country with a GDP of 47B financed a 12B dollar project? hehe...you might get the money but it will take ages...as a result, it makes more sense to take a loan, finish the railway quickly then the project will pay back the creditors....win win situation...but i congratulate u for going electric...hiyo ni poa sana...hata wa Nigeria wameanza kutetemeka jinsi EA inavokimbia...walisikia trains za Addis, wakaskia tena BRT ya Dar, na wataskia tena electric SGR ya TZ...wakati wao hawana chochote cha maana...yaani nigeria is very corrupt...i heard their SGR took almost 20B but if u see the stations? lol!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cooked GDP, umewahi fika Kenya? Umewahi fika Mombasa? na je Nairobi? Kama umefika sawa lakini kama bado basi fika huku kwanza ndio ulete vijembe hivyo kama Geza Ulole na Annael, Watu ambao hawawezi kubali ukweli
ukweli kwenye uwongo hakuna mtu atakaye kubali....

nyie niwazee wakupika data wazee wa trik..[emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo ni mazuri.

But at what cost? (Economically, socially, politically, morally)

Are the economies of scale being taken into consideration?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! talk abt chasing ur own tail...you are building a 12 B dollar railway to serve a country of 11 million? this is a big white elephant...afadhali ile yetu inaenda Uganda na Sudan Kusini...bila shaka itajilipia kwa mizigo hizo...Rwanda's GDP hata haijafika hio 12 B...
emoji23.png
emoji23.png
Ukweli mtupu hapa .Ijulikane sababu Moi and Jomo Kenyatta hawangeweza kujenga reli kufika Nairobi ni sababu GDP ilikuwa ndogo wakati ule na kwahivyo deni na utumikaji wa reli kibiashara zote zingekuwa negative results.
 
very true...kujenga reli kule China, Japan ama Marekani ni jambo la kawaida sana...watu hawaendi mitandanoni kuruka ruka huku na kule....yaani miafrika tuna ushamba sana...
sisi siyo washamba hata wao wakati wanaanza kujenga vitu ambavyohavijaawahi fanyika mambo yalijadiliwa kama kawaida ...na hakuna watu wanaofuatilia mitadi yao kama wenzetu wa ughaibuni.....

kwa hatua tuliyofikia ya kujua vitu vinavyohappen ni hatua nzuri na niyakujipongeza ...inaonyesha ni jinsi gani tupo na angalau umakini zaman walikuwa wanafanya kimya kmya na pesa wanaiba bila kujua

usirudie kujiita mshamba kama mwafrica mlengwa wakati tunajadili vitu vyenye tija kwa bara na taifa....unakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom