RELATIONSHIP Killers

We Boflo umezikopi wapi hizo?
 
Hilo neno red limeniduwaza... hahahaa
 
snoring?..

ushapambana na mtu anayekoroma wewe; kuna mtu mmoja ilibidi awe analala nje kwenye hammock kwa kuogopa kusababisha watu wengine wasilale, na hajaoa mpaka leo kwa tatizo hilo.
 
dah..sijapambana na mtu wa aina hiyo..ila hadi iwe sababu ya kuachana bas atakua anatoa sauti kama ya simba au pikipik

labda ugeuze mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchana, l mean unalala mchana, usiku unasikilizia muungurumo.
 
Inferiority complex..mwanaume hajiamini kila unachofanya anahisi upo na mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…