Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,239
- 40,759
Inawezekana alikuwa hapati ushirikiano na aliona dalili za kutemwa,akaona awawahi πNadhani alianza mawasiliano muda mrefu lakini akawa hapewi ushirikiano wa kutosha! Msikilize hapaView attachment 3406126
Anaenda kujichimbia kwanza kisha aje kutembeza spana moja mojaHilo liko wazi hawezi kuja nchini sasa mpaka kwa wakati mwafaka..
Akija sasa na kwa namna alivyomtandika za uso, mateke na uppercuts huyu bibie, hakika watamdaka na kesi ya uhaini itapikwa akiwa Segerea kwenye "death row chambers..."
Huyu mama na genge lake ni hatari, ni shetani ktk sura ya mwanamke mvaa ushungi..
Babu ndio umechoka kiasi hicho my brother?ππAkili yangu imekuwa nyembamba nashindwa kuunganisha dots wala kung'amua hayo majinaπ₯Ί
Tukiwa wadogo miaka ya 60 hivi. Kipindi kile hata mkipigana hakuna cha mtu kwenda polisi wala ndugu yake mahakama. Matatizo yalikuwa yanamalizwa na wanazengo kwa ama upigwe faini au mzazi apige faini kama uliyetenda kosa ni mdogo.Kuna hesabu za kiroho hapa
Mwaka 1962 Aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Uingereza alijiuzulu nafasi hiyo muhimu kimataifa baada ya kutofautiana na boss wake Hayati Mwalimu J.K. Nyerere Mchonga meno!
Miaka 62 baadae (2025 haijakamilika hivyo sip 63) Aliyekuwa Balozi nchini Cuba na mwakilishi wa mataifa jirani mane.. Naye kaachia ngazi kwa barua .. Lakini pengine akiwa nje mbali na kituo cha kazi
Christopher Kassanga Tumbo yeye Alimwambia boss wake.. "Sitaki kazi yako narudi nyumbani....."
Pole pole yeye kaandika waraka mrefu akionesha jinsi asivyoridhishwa na mambo yanayoendelea ndani ya chama chake na taifa kwa ujumla na kutuma mitandaoni( pengine pia na kwa boss wake) lakini yeye hajasema anarejea nyumbani
Mazingira ya nyakati, muda na vipindi yanatofautiana sana kisiasa, kiuchumi, kijamii, maendeleo ya kitekinolojia nk.. Lakini ujumbe unafanana.. Wote wamejiuzulu!
Lakini je!? Kati ya wawili hawa nani kaharibu mbaya? Achana na sababu za kujiuzulu
Pole pole ndio katia fora. Yaani mbele ya kadamnasi kambagaza kofi boss wake
Ukiwa huu ni mwaka wa uchaguzi ambao kiutaratibu unapaswa kufanyika miezi isiyozidi mitatu ijayo.. Balozi anajiuzulu si kwa matatizo binafsi bali mambo ya kitaifa nchini mwake
Ni kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu jumuiya za kimataifa zote macho yake yako Tanganyika.. Imagine wanapata picha gani hapa!
Tayari tulikuwa tumeshachafuka kimataifa kutokana na yale yanayoendelea nchini.. Sasa ni kama Polepole kaja kuthibitisha ama kupigilia msumari wa mwisho.. Kama ni kutibua basi kajua kuyatibua hasa!
Vyovyote iwavyo kaweka historia mpya Tanganyika..
Namba 2 alipokewa kijiti na namba 3 kutoka kaskazini mwa Tanzania ila hao wengine sijaelewaNaomba uwe makini kusoma haya majinaπ
1.Padri ,aliesoma mzumbe akawa mwambata Rwanda now yupo ngorongoro
2.Askofu Mara yupo Nida Mara bank kuu
3.Police alafu diwani alafu anazuia Rushwa
4. Musowero
Kampiga jiwe na utosini. Mwamba kateleza huyoooo..Hilo liko wazi hawezi kuja nchini sasa mpaka kwa wakati mwafaka..
Akija sasa na kwa namna alivyomtandika za uso, mateke na uppercuts huyu bibie, hakika watamdaka na kesi ya uhaini itapikwa akiwa Segerea kwenye "death row chambers..."
Huyu mama na genge lake ni hatari, ni shetani ktk sura ya mwanamke mvaa ushungi akipambana kumpinga Mungu, kupingana na nyakati na majira yaliyowisha kumkataa
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=f5ACFucerXgut8Tq
Duh imekuwaje tena hilo ringiView attachment 3406187usafiri tunao tunamfuata huko huko Havana
Hii code sijailewa mkuu sijui ni madungu yashakaa kichwanNaomba uwe makini kusoma haya majinaπ
1.Padri ,aliesoma mzumbe akawa mwambata Rwanda now yupo ngorongoro
2.Askofu Mara yupo Nida Mara bank kuu
3.Police alafu diwani alafu anazuia Rushwa
4. Musowero
Kumfanyia timing unapiga hedi ya usoni. Hapo lazima aende chali na uso kuvimba. Unabeba shati lako huyoooo. Mashabiki wanabaki kushangilia na wapambe wako unaongozana nao.πTukiwa wadogo miaka ya 60 hivi. Kipindi kile hata mkipigana hakuna cha mtu kwenda polisi wala ndugu yake mahakama. Matatizo yalikuwa yanamalizwa na wanazengo kwa ama upigwe faini au mzazi apige faini kama uliyetenda kosa ni mdogo.
Kama mtu anakuzidi nguvu kulikuwa na mbinu mbili tu.
1. Kumfanyia timing unapiga hedi ya usoni. Hapo lazima aende chali na uso kuvimba. Unabeba shati lako huyoooo. Mashabiki wanabaki kushangilia na wapambe wako unaongozana nao.
2. Unabeba jiwe ama rafiki yako anakubebea kisirisiri. Unaenda kumchokoza adui. Akichokozeka, dakika tu unampiga jiwe usoni au kisogoni akikupa mgongo then unasepa zako na mashabiki wako unamwacha anajipangusa damu.
Swali: Polepole katumia mbinu ipi hapo kumtwanga bosi wake ???
Naambiwa usafiri huu unaenda kwa Kasi ya 5g plus na mbwembwe za chawa wakikatiza mitaa yenye mishangaz kwahy n mwendo wa mieleka na kuparamia visikiDuh imekuwaje tena hilo ringi
1. Cdf mstaafu mabeyoNamba 2 alipokewa kijiti na namba 3 kutoka kaskazini mwa Tanzania ila hao wengine sijaelewa
hamuogopi wahuni humu?Hilo liko wazi hawezi kuja nchini sasa mpaka kwa wakati mwafaka..
Akija sasa na kwa namna alivyomtandika za uso, mateke na uppercuts huyu bibie, hakika watamdaka na kesi ya uhaini itapikwa akiwa Segerea kwenye "death row chambers..."
Huyu mama na genge lake ni hatari, ni shetani ktk sura ya mwanamke mvaa ushungi akipambana kumpinga Mungu, kupingana na nyakati na majira yaliyowisha kumkataa
View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=f5ACFucerXgut8Tq