CCM wamenuna maana Legacy inafutiliwa mbaliNdiye Rais wa kwanza kuliunganisha Taifa, leo hii Wapinzani wa CCM na CCM wenyewe wanaimba wimbo mmoja. Taifa lina furaha.
Uko vizuriHabari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu.
1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania.
2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania.
3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi.
4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4).
5- Ndiye Rais wa kwanza Tanzania kutokea kwenye umakamu.
Hizo ni baadhi ya rekodi Alizo weka Je, rekodi gani nyingine Samia kaweka
Sio kwa kumea huko.Kama ni hivyo basi sawa!
Hiyo picha kwa maandishi ni zaidi ya page za A4 400000Weka picha zaidi. Hii haitoshi.
Kwani page za A4 400000 zinasemaje?Hiyo picha kwa maandishi ni zaidi ya page za A4 400000
Ndiye Rais wa kwanza aliyechukua madaraka baada ya kifo cha dikteta wa kwanza kuwai kutokea Tanzania,,Habari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu.
1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania.
2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania.
3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi.
4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4).
5- Ndiye Rais wa kwanza Tanzania kutokea kwenye umakamu.
Hizo ni baadhi ya rekodi Alizo weka Je, rekodi gani nyingine Samia kaweka
Sio kwa kumea huko.
Nimeipokea kwa mikono miwili.Zawadi ya glass screen protector mpya inakuhusu.