Rekodi Alizo weka Samia Suluhu.

Habari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu.
1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania.
2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania.
3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi.
4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4).
5- Ndiye Rais wa kwanza Tanzania kutokea kwenye umakamu.
Hizo ni baadhi ya rekodi Alizo weka Je, rekodi gani nyingine Samia kaweka
Uko vizuri
Ndiye rais atakayefanikisha mchakato wa katiba mpya
 
Habari wakuu hapa ni baadhi ya rekodi chache Alizo weka Rais Samia suluhu.
1- Ndiye makamu wa kwanza wa kike Tanzania.
2- Ndiye Rais wa kwanza wa kike wa Tanzania.
3- Ndiye Rais aliye pita pasipo kupitia mchakato wa uchaguzi.
4- Ndiye Rais atakae ongoza muhula wa kwanza mfupi zaidi (Miaka 4).
5- Ndiye Rais wa kwanza Tanzania kutokea kwenye umakamu.
Hizo ni baadhi ya rekodi Alizo weka Je, rekodi gani nyingine Samia kaweka
Ndiye Rais wa kwanza aliyechukua madaraka baada ya kifo cha dikteta wa kwanza kuwai kutokea Tanzania,,

Dikteta aliepingana na science/mwisho wa siku science ikazunguka mlango wa nyuma ikampiga knock out
 
Back
Top Bottom