Rejesha Nyota yako Kimapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rejesha Nyota yako Kimapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gagurito, Jul 17, 2011.

 1. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  je unataka kurejesha nyota yako kimapenzi? Unapaswa kutambua kuwa kitu chochote muhimu na kizuri duniani kina hitaji mbinu sahihi ya kukipata. Hivi ndivyo hata katika mapenzi ilivyo, utakapo kurejesha nyota yako ya kimapenzi, unashauriwa kuchagua marafiki wenye staha ili uweze kufurahia maisha, fanya tathimin ya mwenendo wa mapenzi yenu, wewe na mweza wako, iwapo mambo hayako sawa jitahidi urekebishe haraka ipasavyo. Fanya mambo ambayo mkeo/mchumba/mpenzi wako huyafurahia na epuka kumkwaza mara kwa mara. Jitahidi kujali mambo yote mfanyayo na mwenza wako (hapa nakushauri uwe na kumbukumbu ktk golden moments zenu), usiwe mtu wa kukuza mambo na jitahidi kusamehe pale ukosewapo... Jishughuri she kuepuka utegemezi.
  Mengine ongezeni, kosoa pale uonapo sipo sawa!
   
 2. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo wewe ni msomaji wa nyota!?Mbona sasa hujaelezea hiyo jinsi ya “kusafisha nyota“ umeelezea tu nini kifanyike baada ?!Naomba mwongozo!
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  baby gal, nyota yako imefifia sana kwenye swala la mapenzi..naomba uni pm nikupe mwongozo wa kuing'arisha
   
 4. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heeee embu usinichurie we mzee sijui kijana!
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  natania tu baby gal...infact nyota yako inang'ara sana mpaka naogopa kukatiza mbele yake.
   
 6. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  aaaaaah bwana hakuchurii, mi namjua jamaa atakusaidia we sma tu huna imani; pia usisahau amekuambia hivo baada ya kuonyesha una uhitaji
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hiyo ndio jinsi yenyewe, nisemapo nyota sina maana ya yale madudu afanyayo sheikh yahya, namaanisha jinsi ya kung'arisha mapenzi yako!
   
 8. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilirudi na makombora ila naona siyahitaji.Nashukuru kwamba ulikua unatania tu.Kupita we pita tu ..I don‘t bite.
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hahahahahahaaa! Umejuaje mkubwa?
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kuna haja ya kumpatia tiba babygal.
   
 11. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa kama sio hivyo uliona umuhimu gani wa kutumia neno nyota wakati hua haliishi kuhusishwa na mambo ya unajimu?!Au ndo unaingilia fani za watu bila kujua?!
   
 12. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha upuuzi!Asinipe tiba niliye nae ije kua wewe msoma nyota uchwara na wachovu wenzio?!
   
 13. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwanini mpaka aku PM? mwaka hapa hapa tu mkuu na nyota itasafishika bila shaka
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Njoo nibite mie babygal maana lako hata halitauma...
   
 15. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha kaachiwa mikoba na MUFTI MKUU NA MNAJIMU AFRICA MASHARIKI<KATI NJE NA NDANI HUSSEIN YAHYA?
   
 16. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hahaha mnajimu anakufa{shekh}
  Wanajimu wanazaliwa.
   
 17. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #17
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Embu nikome.Umeambiwa nabite hovyo?!
   
 18. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sikukomi maana napenda kubitinwa...njoo tu nakusubiri tena nakupa shingo kabisa ili kile ki nini bite kionekane?
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako wewe unawaza mambo ya unajimu sana. Ukisikia mtu kasema "yule ni nyota wa filamu" we utawaza unajimu?
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hahahahaha! Babygal hajaelewa somo vyema, amekurupukia hoja!
   
Loading...