Sisi hatuna tatizo..lengo la mahakamani ni kuwaonyesha kuwa ile kashfa haikuwa kweli maana tukikaa kimya mtawadanganya watanzania kuwa ni kweli....na kama mkikataa pia hatuna tatizo kwa kuwa tutamrudisha mbunge tunayemtaka.....We tulia uone peoples Power ilivyo.....Hivi kumbe kesho ndio mnaenda kulia lia mahakamani??
Subiri uone matunda ya uamuzi wa jaji wenu. Mtajuta kununua punda kwa bei ya farasi.
Sidhani kama kuna upindishwaji wowote wa sheria. Kila kitu kilikuwa fair. Kumbuka Lema mwenyewe alikubaliana na hukumu na akasema kuwa hawezi kukata rufaa. But nashanga kajirudi kama kinyonga gafla anaona ameonewa.Nina IMANI huyu jaji itakuwa mwisho wake wa kupindisha sheria (ATAJUTIA HAKIKA) tusubirie kidogo maamuzi!
Salamu zako zimefika kaka. Nipo naye hapa na anakusalimu sanaSisi hatuna tatizo..lengo la mahakamani ni kuwaonyesha kuwa ile kashfa haikuwa kweli maana tukikaa kimya mtawadanganya watanzania kuwa ni kweli....na kama mkikataa pia hatuna tatizo kwa kuwa tutamrudisha mbunge tunayemtaka.....We tulia uone peoples Power ilivyo.....
Tena kumbuka Arusha mjini ni mama wa Arumeru...lol huku moto wake hamuuwezi Rejao....
BTW:Salamu zangu kwa Cantalisia
Salamu zako zimefika kaka. Nipo naye hapa na anakusalimu sana
Hahahah..lol!mh! namhurumia CAnta unavyompelekapeleka kwenye siasa... ilhali yeye na politiks ni kama maji ya kunywa na nanasi!
Hahahah..lol!
Inabdidi tu azipende na aandae wenetu waje kuwa wanasiasa wazuri..
Dah alisema kwa kuwa kamati ilikuwa haijakaa bado ila baada ya chama kukaa ndo tumeonelea ni vema kukata rufaa...Sidhani kama kuna upindishwaji wowote wa sheria. Kila kitu kilikuwa fair. Kumbuka Lema mwenyewe alikubaliana na hukumu na akasema kuwa hawezi kukata rufaa. But nashanga kajirudi kama kinyonga gafla anaona ameonewa.
Salamu zako zimefika kaka. Nipo naye hapa na anakusalimu sana
Mkuu mbona haya mambo ni personal sana..anyway, wakati wake muafaka ukifika nitakujulisha.Rejao, tell me how you met Canta? Just curious!
Zimefika..Amy siku hzi simuoni kabisa hapa jamvin, au umemkataza asiingie humu?Ni jambo jema kama hajambo.... mwambie Amy anamsalimu sana
Anainjoy sana...with rejao, maisha ni muruaaa. She is always smilling like a saint!angalia usijemfanya akaimba ndoa ndoano!