Hajui ulivyojipanga? full kumwaga malavidavi! najua mtei one kiwango chake bado kipo chini sana!Anifanyaga hajui....eti anakomaa labda nitaachika....
Hahahaaaaaa
Pole yake
namrudia Amyner
Mweh! Duh!
Hivi wewe hizi tabia za ukuwadi umeanza lini!!!Afadhali Smile Saint umwambie maana Mtei ni kichwa ngumu sana....
Ni bora hata Smile akukubalie wewe....
Hahahaaaa kweli kiwango chake kiko chini sana....Hajui ulivyojipanga? full kumwaga malavidavi! najua mtei one kiwango chake bado kipo chini sana!
Halafu dhawadi yetu usiisahau...naisubiri kwa hamu!
Hata wewe? Wataka niwe single ili turuke pa1?
Wala simsaidii kuamua,usimsaidie kuamua... muache afanye maamuzi huru, anaweza kukulaumu siku moja ohoooooooooo
Bila ivi huu uzi usingenoga wengine wangeishia utupwa selo,
Acha tu mambo yajichanganye ivi ivi mkuu ili mradi somo linaeleweka!
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......................
hii haiozi, halafu sishindi baa, hiyo juu kabla haijaoza atapata nyingine
Hahahaaaa kweli kiwango chake kiko chini sana....
Halafu anajulikana na kila mtu lol
Safi sana kijana naona uko juu sana kwenye caring
Navunja ushemeji rasmi na weweSmile uko sahihi shem....
Nakuhakikishia kuwa mikononi mwa Smiling Saint uko salama kabisaaaaaaaa
Hongera sana....
Dada yako Amyner akija nitama taarifa njema hii
chui alyejvika ngozi ya kondoo a.k.a pretender
ah! mie simo Tabasamu kashahamia kwangu....pole na amyner kwa wale vijana wa AR
Navunja ushemeji rasmi na wewe
Km unataka vita ya 3 ya dunia fitina hizi jaribu kwa ndoa yangu uone!