Rejao huyajui masaburi?

Rejao huyajui masaburi?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,683
kwa nini huyajui?wakati watu huyatumia kufikiriia

01.jpg
 
Tatizo la Rejao anajilazimisha kutoelewa kitu kwa makusudi tu,ili watu waanze kubishana pasipo sababu maalumu na hatimaye wengine wanakula ban.
 
majamaa wameyakaza mpaka ushuzi!hahahahahahaha!masaburi ni noma
 
masaburi yao kama ya baba yao jairo
 
wote kweli wantumia masaburi kufikiria..Naona hata walivyokaa ktk kusukuma gari.Tena eti ndo washauri wa kuu kth hiyo Wizara....KAZI KWELI KWELI
 
wote kweli wantumia masaburi kufikiria..Naona hata walivyokaa ktk kusukuma gari.Tena eti ndo washauri wa kuu kth hiyo Wizara....KAZI KWELI KWELI
<br />
<br />
sio tu kufikiria hata kusukuma gari ambalo limepiga breki..
 
Tatizo la Rejao anajilazimisha kutoelewa kitu kwa makusudi tu,ili watu waanze kubishana pasipo sababu maalumu na hatimaye wengine wanakula ban.
Binadamu wote hata siku moja hatuwezi kuwa sawa.
Mnataka wote tuwe wana CDM?
 
Jamani kwa kweli kwa muda mrefu nilikuwa nje ya JF na juzi nasoma nakutana na Masaburi nikabaki kuduwaa na hata sikuwa naelewa mnamaanisha nini??

Daaahh, kweli JF kazi ipo..............Ni nini msingi wa neno hili? I'm a bit interested kufahamu
 
Back
Top Bottom