Reincarnation: Could it be real? (Kuzaliwa upya inawezekana kuwa kweli?)

hiyo ni siri ua ma freemason ili kuwaaminisha wajinga wanaeza kupanda daraja na kuwa na uwezo kama malaiks au mapepo..hii ilianza na charles darwin kuwaa.inisha watu kuwa tulitokea kwa masokwe kitu ambacho siyo kweli.hii ilitumika kama base ya uongo wao huo wa kwamba mtu huweza kutoka katika hali ya ubinadamu wa kawaida na kuwa kiumbe wasiokufa haraka na wenye uwezo mkubwa
mfano wa hizi vitu viko ata kwenye movies za vampires na mazombi..hawa ma vampire huwa ni majini kiuhalisia
Yeah, ni kweli! Ila siri iko kwenye spiritual possession![Secret!], Imekuwa ikifanyika sana na makabila ya kiafrica tangu zamani, Ila hizi secret societies zimeenda hatua nyingi mbele. Unaona, kama mtu akiingiwa na kucontroliwa na spirit anaweza kuwa na uwezo wa juu usio wa kibinadamu. Wanachofanya ni kuruhusu kuwa possessed na spiritual beings wenye nguvu kubwa, kisha kwa kutumia mbinu zao, Spirit anakuwa na kibali cha kutumia mwili wa host kufanya anachotaka na wakati huohuo binadamu anakuwa na uwezo wa kutumia baadhi ya uwezo wa spirit. 50/50 sharing au inaweza ikazidi upande mmoja!
 
hapa nipo njia panda hebu nifafanulie hiki kitu ,,, mwaka 2006 ndo mara ya kwanza kufika arusha lkn kuna maeneo nikifika kumbu kumbu nyingi hunijia kama nilishawahi kufika lkn pia kuna vitu vingine hujirudia yani ninapofanya kitu hapohapo nakumbuka kua nilishawahi kufanya hicho kitu na inakua rahisi kukifanya coz nakumbuka yote
je hii ni nini
Hii hata mimi huwa ilishanitokea na inanitokea. Ila huwa naidismiss as if ni ndoto. Haya mambo ya kiroho yapo ila sababu mafundisho ya dini yameshaturubuni wengi tunapotezea.
 
Kuna roho ambazo watu wanaziita mizimu hapa Tanzania. Wanasema ni mababu/mabibi wa zamani ambao wako hai. Wengi wanawafanyia matambiko na kuwaomba ulinzi, mafanikio n.k.

Ukweli ni kwamba hiki kinachoitwa re-incarnation kinafanana na hii issue ya mizimu. Mara nyingi mtu anapokufa kwa kifo cha 'kulazimishwa' (kama ajali au kuuawa na jambazi n.k.) ile roho yake haiendi kutulia. Inakuwa 'inarandaranda' hapa duniani. Nyingine zinawatokea watu kama binadamu na kueleza mambo ya zamani wakati mhusika alikuwa anaishi. Hizo ndizo zinaitwa mizimu.

Nyingine zinaingia ndani ya watoto wadogo kabisa. Hizi ndizo ziliwafanya hao watoto wakawa wanakumbuka mahali ambapo mtu aliyekufa alipokaa na vitu vyote vinavyomhusu. Sio kwamba ni yule mtu aliyekufa amezaliwa upya bali ni roho ya mtu aliyekufa imemwingia huyo mtoto. Sote tunajua kwamba roho inaweza kumwingia mtu na ikamsababisha akafanya vitu tofauti au vya ajabu (kama ambavyo mtu aliyevamiwa na mapepo anavyoweza kufanya mambo ya ajabu).

Hizi roho za namna hii ni zile ambazo hazitaenda mbinguni (peponi)
 
Almost half of the global population believes in the concept of re-incarnation. This is a belief of the soul re-living the physical life after the death of an individual. The form and status of the new life is said to depend on one's deeds in the former life. This belief is wide spread in the Indian sub-continent and other oriental religions.

Considerable efforts have been made to investigate truthfulness of accounts of especially children who recounted their past lives. The majority of these cases are reported to have been corroborated as being consistent/matching with people who described by the investigated subjects.

In this video, some of the investigator are sharing their findings. Please share your thoughts after listening to the video. Could this be real?





-----------
Cryptopotato anasema..,

Wengi tumekuwa tukifikiria kunamaisha baada ya kifo kulingana na imani zetu namafundisho tuliyopewa kuanzia watoto.Mmoja anaweza kudai mafundisho yake ni bora kuliko aliyo yapata mwingine kwasababu ya imani yake juu ya hayo mafundiaho ambayo ameaminishwa kwa kurithishwa na wazazi, kufuata mkumbo au uoga wa kujifunza cha mwenzake akiwa na akili ya wazi(open mind).

Tunaamini binadamu ni kiumbe wapekee na tofauti sana na wengine waiyopo hapa duniani.wengi wanasema ameumbwa kwa mfano wa muumbaji wa kila kitu na kupewa akili za ziada ili atunze viumbe wengine.lakini je muda wake unapoisha duniani roho ambayo ndiyo inabeba ufahamu wa mtu inaenda wapi?

Kuna kitu kinaitwa reincarnation(roho kurudi upya duniani baada ya kifo) ambapo roho ya mtu aliye fariki itarudi tena duniani baada ya muda mrefu na atazaliwa kama mtu mwingine huku mara nyingi akiwa hakumbuki chochote cha nyuma, labda mpaka pale siku inayo subiriwa na wengi itakapo wadia(siku ya hukumu).

Lakini kuna story za watoto wadogo waliokuwa kidai kwamba walikuwa watu flani katika maisha yao ya za mani kabla hawajafariki na kuzaliwa upya duniani na wengi wamekuwa wakielezea story za maisha ya hao watu wanaodai walikuwa ni wao kwa usahihi mkubwa mpaka kuwa ogopesha ndugu waliobaki wa hao marehemu.

Je, kama haya haya tu na yaona kwa macho kuna ukweli kuhusu roho kurudi duniani baada ya kifo?

Baadhi ya story za reincarnation(roho kurudi duniani baada ya kifo hizi hapa)


---------
mareeTZ anasema..,

Reincarnation ni falsafa na Imani iliyojengeka toka enzi na enzi inayoamini kuwa baada ya kifo cha mwili au roho, nafsi ya mwanadamu huanza tena maisha mengine katika mwili mpya hapa hapa duniani. Neno reincarnation limetokana na lugha ya kilatini likimaanisha "kuingia tena katika mwili". Imani hii huaminiwa sana na waumini wa dini ya hindu kutoka nchini india, na dini nyingine za zamani kama theosophy, spiritism pamoja na eckankar pia zipo baadhi ya jamii na makabila makubwa nchini Australia, asia mashariki, Siberia na America ya kusini ambayo pia huamini sana Imani hii.

Katika jamii ya zamani ya ufalme wa farao nchini misri pia kulikuwa na Imani ya maisha baada ya kifo ambapo wafalme wote waliokuwa wakizikwa katika mapiramidi walikuwa wanaandaliwa kwa ajili ya maisha baada ya kifo, kwa kuzikwa na fedha ,manukato,nguo na vitu mbalimbali kwa Imani kuwa kuna maisha baada ya kifo.

Matukio mengi yametokea duniani na kupelekea watu wengi kuanza kudadisi juu ya ukweli wa Imani hii ya kuishi tena hapa dunianai baada ya kifo (reincarnation). Baadhi ya matukio kadhaa yameripotiwa yakihusisha kumbukumbu za maisha ya nyuma kabla ya mtu kuzaliwa, alama mbalimbali katika mwili na ulingano wa tabia tofauti baina ya waliofariki na waliozaliwa. Na wengine kuzaliwa wakiwa na uwezo wa kuzungumza lugha Fulani.

Tukio moja linalohusisha ukweli juu ya Imani hii ni la kijana Tarajit sing amabaye anaishi katika kijiji cha alluna miana. Tangu akiwa na miaka miwili Tarajit Singh amekuwa akidai kuwa jina lake la kweli ni Satman singh na alizaliwa kijiji cha chakkchela kilomita 60 kutoka kijiji chao

Taranjit anadai anakumbuka alikuwa mwanafunzi wa darasa la 9 akiwa na miaka 15 au 16 na jina la baba yake ni Jeet singh, na anakumbuka aligongwa na pikipiki akiwa anaendesha baiskeli na kufariki septamba 10 1991, Anakumbuka pia siku ya ajali alikuwa amebeba daftari zake ambazo zililowa damu huku akiwa kiasi cha rupii kumi mfukoni. Baadaye wazazi wake walianza uchunguzi ambapo mwalimu mmoja katika mji wa Jalandhar alithibitisha kijana aitwaye satman alifariki katika ajali na baba yake anaitwa jeet singh. Baba wa tarajit alisafiri hadi kwa wazazi wa Satman ambao walithibitisha kifo cha mwanao pamoja na kuonesha zile daftari zenye damu na zile rupii mfukoni.

Baada ya tukio lile mwanasayansi Vikram raj Chauhan alichukuwa daftari za Satman zenye damu pamoja na daftari za Taranjit ambapo baada ya vipimo ilionekana miandiko yao inafanana kwa kila kitu.

View attachment 432833

Tukio lingine linamuhusisha John Mcconnell aliyepigwa risasi mara sita na kufariki mwaka 1992 na kuacha binti mmoja aitwaye Doreen. Baadaye mwaka 1997 doreen alijifungua mototo wa kiume aliyemuita William. William alizaliwa na tatizo la mshipa mkubwa ya kushoto moyo kushindwa kupeleka damu katika mapafu huku baadhi ya mirija ikiwa imekaa vibaya baada ya tiba na upasuaji kadhaa alipona. Wakati john mcconell anapigwa risasi mara 6 risasi moja iliingia katika mapafu na nyingine katika mshipa mkubwa wa kushoto wa moyo. Tukio lililohusihswa na ugonjwa aliozaliwa nao William.

Siku moja wakati Doreen anataka kumchapa willian, willian alimwambia Doreen ulipokuwa msichana mdogo mimi nilikuwa baba yako, ulikosea mara nyingi na wala sikukuadhibu. Baada ya tukio hilo William aliendelea kumdadisi mama yake kuhusu familia jambo lililoshangaza , alimuuliza Doreen kuhusu paka ambaye Doreen alikuwa anamfuga kipindi akiwa binti mdogo , William akamtaja yule paka kwa jina la boss na cha kushangaza ni john mcconnell pekee ndiye alikuwa akimuita yule paka jina lile akifupisha kifupi cha jina lake boston.

Willian pia aliweza kutaja siku aliyozaliwa (jumanne ) na siku john mcconnell aliyofariki ya alhamisi, na alitaja siku hizi akiwa bado mototo mdogo hata hajajua majina ya siku. Anadai siku ya jumanne( ambayo ndiyo alizaliwa ) aliambiwa na mungu kwamba alikuwa tayari kurejea tena. Matukio haya mawili pamoja na mengi ya namna hii yaliyoripotiwa yameacha maswali mengi vichwani mwa watu bila ya majibu.
--------------------------

Pia soma => Reincarnation na rebirth ni kitu kile kile[/QUO
UKIFA UNAENDA ZALIWA PENGINE ILA HUMUHUMU DUNIANI......KATIKA BIBLIA NABII ELIYA ALIKUFA(ALIPALIZWA MBINGUNI NA UPEPO) AKAJA KUZALIWA TENA NDO AKAWA YOHANA MBAZITAJI..... MT. MATAYO 17 - 13
SO KAMA MAMBO YAKO HAYAENDI KOMAA LABDA BEFORE ULIKUWA UNAISHI IKULU.
 
Hii hata mimi huwa ilishanitokea na inanitokea. Ila huwa naidismiss as if ni ndoto. Haya mambo ya kiroho yapo ila sababu mafundisho ya dini yameshaturubuni wengi tunapotezea.
HATA MIMI HUNITOKEA ILA HUWA NINA IMAGINE NIKO SEHEM FLANI NAFANYA JAMBO FLANI ILA KATIKA KUWAZA THEN MIAKA MICHACHE MBELE INANITOKEA LIVE.
ILA NI KUTOBOBEA KATIKA DINI ZETU NA TAFSIRI YA VITABU VYA DINI KUWA DHAIFU.....YESU ALIWAAMBIA MAKUTANO AMIN AMIN NAAWAAMBIA KATIKA WALIO SIMAMA HAPA HAWATA ONJA MAUTI MPAKA WATAKAPO MSHUHUDIA MWANA WA ADAM AKIJA KATIKA UTUKUFU WAKE, SWALI JE LEO WAPO??? NO WALIKUFA ILA WANAZALIWA NA KUFA MPAKA NENO LITIMIE...:):):);)
 
Wickama nakubaliana nawe kuwa katika hiyo realm ya death n rebirth kuna viumbe huwa vinavuka hiyo stage na kuwa heavenly beings, hawa kwa matendo yao mema sana na mengi wanakuwa tayari wametoka kwenye zile nira za karma/kufa na kuzaliwa tena! Kikristo huitwa watakatifu

Hawa HEAVENLY BEINGS kwa imani ya Kibuddha wana stage tofauti mpaka kufikia State ya juu kabisa ambayo ni Buddhas lakini pia kuna Bodhisatvas Stage yakati na arahants ambayo ndio stage ya chini

Hao ni hao waliopita level ya ubinadamu kwenda juu lakini pia kuna wale ambao matendo yao yanakuwa mabaya na machafu kupitiliza ambao nao huvuka stage ya ubinadamu kwenda chini hawa hujulikana kama hungry ghosts, maisha yao yamejaa mateso na taabu nyingi na kila wanachojaribu kula au kunywa kikifika tu kooni moto mkubwa hutokea tumboni na kuunguza kila kitu

Kuwasaidia hungry ghosts waweze kula japo kidogo kila wakati wa mlo hufanyika sala maalum chanting na offering kuweza kuwalisha kwanza kabla wengine hawajala

Hungry ghosts kwa roho zao mbaya ndio husababisha ajali na majanga mengine yanayoteketeza roho za wengine

Nimetoka kidogo nje ya mada lakini lengo lilikuwa kufafanua reincarnation kwa mapana yake
broo mshana haya maelezo kitabu gani naweza yapata
 
"I didn't believe in reincarnation in my past life, and I still don't." -- Woody Allen.
 
Wengi wa wanaopinga dhana ya reincarnation ni kwasababu ya elimu ya dini haswa ukristo na uislam.

Ukisema ufikirie nje ya elimu ya dini utagundua mengi sana.

Kwa anayetaka kufahamu zaidi aanze na machapisho ya Dr. Ian Stevenson na wengineo kama Raymond Moody
Dhana ya mafundisho tangu utotoni na mashuleni.
Hasa kunako dini na imani zetu.
Zimetufunga ufahamu kwa maana ya utayari wa open mindedness
 
Majinni si nayo ni Maislam kama wewe. Kumbe wanayo yaamini hawana imani bali wana dini. I can see the logic here.
maxshimba wewe mfia dini ao wanaokupa tonge kuponda dini za watu ipo siku watakutia mkenge ulivyoaminishwa ndo unavyoufikiria ww stupid ,kaa ukijua sku zote kinachodadisiwa ndo kinachokubaliwa bullshit ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom