Registration st joseph, songea

sobstar

Member
Aug 27, 2012
28
4
Nilikuwa chuoni leo ili upate registration na admission card uje na receipt ya crdb songea yenye malipo ya 750000. Ambayo ni minimum wakati unasubiri loan. Masomo rasmi ni 26/09/2012.
 
Hiyo ni sentensi inayoeleza hoja moja au ni sentensi mbili zimeunganishwa?
 
Back
Top Bottom