Reginald Mengi: Mangula, wala Rushwa wanajulikana unasubiri nini?

Reginald Mengi: Mangula, wala Rushwa wanajulikana unasubiri nini?

Status
Not open for further replies.

Amiliki

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
2,085
Reaction score
1,005
Hii nimeikuta kwenye tweet ya Dr. Mengi leo;
@regmengi: "Rushwa imekithiri, maadili yameporomoka"Mangula. Lakini mh. wahusika wanajulikana. Tatizo ni nani amfunge paka kengele ?

MY TAKE:
Imeandikwa, Nikiwazuia hawa kuimba, basi mawe na miti vitainuka na kuanza kuimba. CCM mjifunze kitu sasa.
 
Kwani si hata suala la gesi lipo hivyo, viongozi wengi ndani ya cabinet hawataki gesi iondoke mtwara, lakini nani amfunge mwenzake kengele?
 
Reginald Mengi ‏@regmengi"Rushwa imekithiri, maadili yameporomoka"Mangula. Lakini mh. wahusika wanajulikana. Tatizo ni nani amfunge paka kengele?

Source: Reginald Mengi Twitter
 
mangula ndio pccb .meng jombaa fanya biashara achana na siasa utakuwa kama mbowe au ndio ukanda na ukabila
 
Mengi ni mnafiki kama wanafiki wengine tu.Kama anawajua kwa nini asiwataje?
 
Vimemo vya EPA anavyo. huyu mangula ni msaliti sana kwa Watz masikini ni mtu wa kutundikwa kwenye meathook ya butcher siku iyo ikifika.

I hate Magambas kwa wizi wao!!!!
 
Mengi ni mnafiki kama wanafiki wengine tu.Kama anawajua kwa nini asiwataje?

MAngula ni mwenye dolla, kama akisikia haya toka kwa mzalendo halisi , angemfuata atajiwe na sio mengi kutaja.
 
MAngula ni mwenye dolla, kama akisikia haya toka kwa mzalendo halisi , angemfuata atajiwe na sio mengi kutaja.
Mengi ana vyombo vya habari kwa nini asitumie media kuujulisha umma wa watanzania?
 
Mengi ana vyombo vya habari kwa nini asitumie media kuujulisha umma wa watanzania?

Majibu yako ni magamba typical -- kama vile kila siku wakijibu tuhuma za ufisadi eti wananchi wapeleke ushahidi! majibu mepesi kwa maswali magumu.

Hao waliopewa majukumu ya kutafuta ushahidi wameshiba kwa kuvimbiwa na sasa wanatibiwa nje!!
 
Anamlilia makamu wa chama badala ya mkuu wa nchi ? Au ndiyo ile kitu tuliyoambiwa kuwa Rais dhaifu??????
 
Mengi ni mnafiki kama wanafiki wengine tu.Kama anawajua kwa nini asiwataje?
alisha wataja wala rushwa. Kupambana na rushwa ni wajibu wakila Mtanzania na sio kazi ya watu wachache kama tunavyotaka.
 
Mengi ni mnafiki kama wanafiki wengine tu.Kama anawajua kwa nini asiwataje?
hata mie sioni tabu km anawajua awataje sio mpaka huyo mangula. Haoni akina Dr Slaa wakiwataja? Au hatski lawama na ubaya?
 
Mangula ni jizi lililokubuhu la kimyakimya na linatosheka na kidogo kwenye mgawo halina nduru mingi,katu hawezi kuwataja wenzake na hata kurudishwa kwake alishamwapia che nkapa kuwalinda majizi yote kama kinana atakavyolinda majangili yote bila kujali anatoka nchi gani ili mradi aibe Tz.
 
Mengi ana vyombo vya habari kwa nini asitumie media kuujulisha umma wa watanzania?
Kuwa mmiliki wa vyombo vya habari haikupi ruksa ya wewe kuvitumia kama unavyotaka.

Hata hivyo This Day ni kati ya magazeti ambayo yamekuwa mstari wa mbele kupiga vita rushwa.
 
hapo ndipo ninapo mshangaa Reggie

hivi vyombo vya sheria kazi yake nini

Mengi bado ana ishi na mentality za ki 1980's za kutishana

Mangula hana ujanja wala uwezo wa kumkamata mla rushwa

thats a FACT.
 
mangula ndio pccb .meng jombaa fanya biashara achana na siasa utakuwa kama mbowe au ndio ukanda na ukabila

Reginald Mengi ni mwanachama hai wa CCM na Mangula ni kiongozi wa CCM aliyeahidi kuwashuhulikia watoa rushwa na wala rushwa ndani ya chama chao cha CCM, Mengi anamkumbusha kiongozi wake atimize wajibu.
How old are you
@Mchange ???
 
hapo ndipo ninapo mshangaa Reggie

hivi vyombo vya sheria kazi yake nini

Mengi bado ana ishi na mentality za ki 1980's za kutishana

Mangula hana ujanja wala uwezo wa kumkamata mla rushwa

thats a FACT.

Mangula aliahidi kuwashuhulikia wahusika wote wa rushwa ndani ya ccm, Mengi anamkumbusha mangula kufanya alichokiahidi.
Sasa hapo wa kumshangaa ni mengi au mangula??
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom