Reginald Mengi kugombea Urais

Mimi ni mchaga ila mengi ana sifa za kuwa rais cha msingi aendelee kuwa rais wa vikoba na wengineo au anataka kulipiza kisasi kwa akina muhongo aah kajilogaa teeh tethh😂

Una maana "anazo" au "hanazo" hueleweki.
 
Aiser kutoka na miss tz hadi kuwa rais ni bahati iliyoje
 
Mtemi wa nini? Huku ni Maminywi, ndiyo maana miji yetu huku ni "Bwagamoyo", "Dar Es Salaam", utemi wa nini? Watu wako burdaan wa sharaba.
Mashaullah,kumbe ma mwinyi ndio walikuwa viongozi??.Basi kheri.
 
Hivi mama'ko Yesu ali olewa na Josefu akiwa na miaka mingapi? Na alipozaa kimiujiza alikuwa na miaka mingapi?

Na hizo ndiyo sababu kuwa Mchagga hakubaliki kuiongoza Tanzania?

Hujui ulisemalo,by the way Quaran inakwambia nini kama umeshindwa kuitafsiri au una mashaka nayo?Chapter 10 verses 94 unaambiwa kama hujaielewa Quaran au una mashaka nayo basi njoo utuulize sisi tunaosoma biblia ili upewe ufafanuzi.Usikimbilie kuropoka bila kupata ufafanuzi toka kwa hao usiowapenda(wakristo),ndivyo quaran inakutaka ufanye we bibi.
 
Hajui hata kuongea vzuuuri huyu jamaaa
 
Kwa tiketi ya ccm labda si UKAWA! Shughuli itakuwa kali maana huyu mzee hana magnetic public speaking.Kama kweli ana nia afanye crash course ya public speaking!
 
Mengi akigombea kuwa Rais wa mafisadi hapo ntamwelewa lakini siyo kuwaongoza watanzania wakati ananuka ufisadi.

Orodhesha ufisadi wa Mengi ukiwa na uthibitisho tofauti na kufanya hivyo wewe utakuwa lile kundi linalomtetea Frofessor NJAA.
 
Kwa tiketi ya ccm labda si UKAWA! Shughuli itakuwa kali maana huyu mzee hana magnetic public speaking.Kama kweli ana nia afanye crash course ya public speaking!
Yeye anadhani kwa ufisadi wake ataweza kuwanunua watu wote ujue mengi akili yake ya kawaida sana.
 
Orodhesha ufisadi wa Mengi ukiwa na uthibitisho tofauti na kufanya hivyo wewe utakuwa lile kundi linalomtetea Frofessor NJAA.
Kafisadi vitaru vya madini,kafisadi watumishi wake,kafisadi DTV,kafisadi wasichana wadogo,anafanya biashara haramu,mkwepa kodi,alitaka kufisadi vitaru vya gesi na mengine mengi tu.
 
Kwa tiketi ya ccm labda si UKAWA! Shughuli itakuwa kali maana huyu mzee hana magnetic public speaking.Kama kweli ana nia afanye crash course ya public speaking!
Kwanini asigombee ukawa wakati yeye mchaga?
 
Haki ya kugombea Urais alikwisha ipoteza kwa kukwepa kulipa kodi. Tutakuwaje na Rais mkwepa kodi; tutakuwaje na Rais ana-tweet tweets zinazoonyesha kutokukomaa, tutakuwaje na Rais ambaye ameshindwa kuwaondolea wafanyakazi wake umasikini, tutakuwaje na Rais mwenye tabia ya kutoa ahadi za mamilioni ya fedha pale anapokuwa mgeni rasmi kwenye hafla bila kuzitekeleza - tapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…