Reginald Mengi: Ipo siku Mafisadi wataongoza nchi

Reginald Mengi: Ipo siku Mafisadi wataongoza nchi

Mengi naye ni fisadi asitudanganye, angalia taarifa za kituo chake cha ITV inavyopendelea mafisadi.

Mkuu tupo pamoja sana, huyu jamaa anachezea watu akili tu. ITV and co ni mfano wa halisi wa mdomo wa mafisadi!
 
Mengi ni mnafiki na mwongo hana lolote, anajua kabsa maslahi yake yatakuwa rehani, kwani nani hakumbuki chuki yake kwa Mkapa na Lowassa!!!! nani hajui kuwa naye alihusika kushawishi kufilisiwa kwa NBC kwa manufaa binafsi!!!!! nani hajui alipata free exemption wakati wa Mbilinyi akiwa waziri wa fedha bila kulipa chochote kwa kigezo mfanyabiashara mzalendo..

kama Mengi mzalendo bado anasuburi nin ccm?? huyu mzee ni mnafiki na mwongo hasa kwa hiv kauli zake kwamba nchi hii inafisadiwa na watu wa nne hivi ina maana haya madudu ya kwenye halmashauri na upuuzi mwingine mwingi ni hao watu 4!!!!! aache chuki, kama ana uzalendo kwanin asiende mahakamani??? Mengi mwenyewe ni adui wa taifa hili, kwa ubinafsi, kupenda sifa na chuki.. Mengi anajiona mwema sana ila hakumbuki ile kesi ya yule mama mzungu aliyemuumbua kule uingireza baada ya yeye na mdogo wake kutaka kumdhulumu shamba, naye ni mchafu kama wachafu wengine.

hivi huu umaskin watz umeanza leo?? nadhani hata hao wa 4 wanaoitwa mafisadi waliukuta, tuache kuhubiri chuki kwa rangi au husida kama afanyavyo Mengi ila tuseme wazi matatizo ya nchi yetu bila kuwa wabinafsi na wanafiki kama Mengi.

My take. tatizo la nchi hii si mtu ni mfumo mbovu kuanzia juu mpaka chini na tunaitaji mtu anayejua tatizo plus suluhisho ndo tutaenda pamoja na ukombozi wa kifikira ila si maneno ya Mengi, in short ni ujinga
 
Anajitokeza taratibu mwisho wa siku katiba ikiruhusu mara huyooo kwa tiketi ya mgombea binafsi[/QUOTE

Reginald Mengi hana mpango wa kugombea u raisi wala ubunge. Angehutaji angekuwa ashafanya hivyo zamani
 
Waongoze mara ngapi??? Kama wameshika remote control na wanaweza kuichezesha shere na kwata serikali kama wanavyotaka si tayari tuu wanaongoza??! Au kuongoza mpaka jina lako liwekwe kwenye makaratasi ya serikali kama NOTI na SHERIA??
 
Wee Mzee acha zako ww mwenyewe fisadi unapotezea, tatizo huyu mzee akitaka kitu wenzie wakimzidi kete ndo anaropoka hovyo, hapo ujue tayari washa mkata mtama mahali fulani ndo maana anabwabwaja. Acha zako watu walisha kushtukia siku nyingi. Tafuta issue nyingine siyo ya ufisadi tunakujua vizuri kuliko unavyofikiri.
 
Nashindwa kuelewa kama Mengi hajui hata sasa hivi kwenye jumba jeupe kuna fisadi anaongoza nchi!!
 
kwani sasa hivi inaongozwa na akina nani tatizo la huyu mzee hafunguki vizuri ujumbe wake upo indirect by the way nimemuelewa.
 
Mengi ni mnafiki na mwongo hana lolote, anajua kabsa maslahi yake yatakuwa rehani, kwani nani hakumbuki chuki yake kwa Mkapa na Lowassa!!!! nani hajui kuwa naye alihusika kushawishi kufilisiwa kwa NBC kwa manufaa binafsi!!!!! nani hajui alipata free exemption wakati wa Mbilinyi akiwa waziri wa fedha bila kulipa chochote kwa kigezo mfanyabiashara mzalendo..

kama Mengi mzalendo bado anasuburi nin ccm?? huyu mzee ni mnafiki na mwongo hasa kwa hiv kauli zake kwamba nchi hii inafisadiwa na watu wa nne hivi ina maana haya madudu ya kwenye halmashauri na upuuzi mwingine mwingi ni hao watu 4!!!!! aache chuki, kama ana uzalendo kwanin asiende mahakamani??? Mengi mwenyewe ni adui wa taifa hili, kwa ubinafsi, kupenda sifa na chuki.. Mengi anajiona mwema sana ila hakumbuki ile kesi ya yule mama mzungu aliyemuumbua kule uingireza baada ya yeye na mdogo wake kutaka kumdhulumu shamba, naye ni mchafu kama wachafu wengine.

hivi huu umaskin watz umeanza leo?? nadhani hata hao wa 4 wanaoitwa mafisadi waliukuta, tuache kuhubiri chuki kwa rangi au husida kama afanyavyo Mengi ila tuseme wazi matatizo ya nchi yetu bila kuwa wabinafsi na wanafiki kama Mengi.

My take. tatizo la nchi hii si mtu ni mfumo mbovu kuanzia juu mpaka chini na tunaitaji mtu anayejua tatizo plus suluhisho ndo tutaenda pamoja na ukombozi wa kifikira ila si maneno ya Mengi, in short ni ujinga

Mkuu acha 'rhetorics'. Kama una hoja binafsi juu ya Mengi njoo na 'thread' mpya. don't appeal to his character (ethos) ili kututoa katika mjadala. Great thinkers hujadili hoja iliyopo, ile aliyoitoa Mengi
 
Pamoja na woga wa 6 kutoka CCM, lakini atakumbukwa kwa kuwachinja japo makalio mafsadi, 6 kuwa ngangari sio kosa kisheria, ongeza ungangari utasaidia japo kidogo ktk mapambano dhidi ya mafisadi
 
Abeeee!,.....mzee Mengi its 2013!, they already ate this country, matter of fact they ate too much yamevimbiwa and now they're passing terrible odor gas!, cant think well
 
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amesema kwa hali ya kisiasa inavyoendelea ipo siku mafisadi wataongoza nchi kwa kuwa mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote za kuwakamata na kuwafungulia mashataka. Na serikali imekaa kimya

'oya uko dunia gani baba wawili...................waongoze mara ngapi sasa,msalimie jacky'
 
Back
Top Bottom