Reginald Mengi: Ipo siku Mafisadi wataongoza nchi

Reginald Mengi: Ipo siku Mafisadi wataongoza nchi

Abeeee!,.....mzee Mengi its 2013!, they already ate this country, matter of fact they ate too much yamevimbiwa and now they're passing terrible odor gas!, cant think well

mengi mwenyewe now yupo anam support Lowassa
 
si EL pekee, [COLOR=#f0000]hata wake wanaojifanya wapanaji[/COLOR] nao sasa wamo

'aloo wee Tina hebu nyosha sentensi jamani huwa mna haraka ya nini eti?,tumeongelea kuhusu wake sisi?,na hiyo wapanaji maana yake nini?,ulitaka kusema wapanuaji au,punguzeni munkari bwana,aah'
 
Last edited by a moderator:
Nilimuona na kumsikia mzee Mengi akiyaongea hayo maneno pale Karimjee Hall, nilimuonea huruma huyu mzee wakati anaongea hayo maneno,ni dhahiri anajua mambo mengi ila ndio hivyo tena anapenda kucha zake,alsisitiza kuwa hawa mafisadi ndio haohao wafanya biashara wa dawa za kulevya.......
 
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amesema kwa hali ya kisiasa inavyoendelea ipo siku mafisadi wataongoza nchi kwa kuwa mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote za kuwakamata na kuwafungulia mashataka. Na serikali imekaa kimya
Huyu Mengi naye! Sijui huo usingizi anaouchapa ni wa aina gani! Amka Mzee Mengi, mafisadi walishatwaa madaraka kitambo, si unakumbuka ile 1st Eleven ya mafisadi iliyotangazwa Mwembe Yanga miaka sita iliyopita? Duh!
 
Mengi anazeeka na unafiki wake,moto wa Lowasa hauwezi mara ya kwanza walijua nguvu yake imebebwa na uwaziri mkuu na walijua wamemmaliza kisiasa kumbe ndio kwanza wamemjenga.
 
Mzee Mengi binafsi huwa nakuheshimu. Ila hapa sasa heshima yangu kwako imeanza kupungua kabisa. Wacha Unafiki simama hazarani kama siku za nyuma uliposimama bila woga na kututajia Mafisadi PAPA akiwemo MANJI.

Usimumunye maneno wataje hao mafisadi unao wahisi kuwa kuna siku wanaweza kutawala nchi. Si useme tu wazi kuwa Unamzungumzia LOWASSA kwani ndie tunaona akijitahidi Misikitini na Makanisani kujisafisha ili aweze kuwa rais 2015 huku wakati ni FISADI PAPA!!

Alivyowataja kina Manji ninyi kama watanzania mlichukua hatua gani? Zaidi mnataka naye aingizwe kwenye kibano kama cha kina Ulimboka na Kibanda! Ninyi wengine hamna msaada zaidi ya kunong'ona mitaani wao wanaumia! Don't do it Mengi, just observe your security!
 
Zingatia tafakari hili:
Tanzania yetu hii ya amani na mshikamano
Biashara kubwa mafisadi,
mafisadi ,biashara kubwa.
Mafisadi na biashara kubwa are two sides of same coin.
Sitaji majina leo.
We see everything.
 
Nchi hii ili isha bakwa siku nyingi,toka mwlm nyerere alipo sema serikali ya kifisadi ikishindwa kukusanya kodi itaishia kukimbizana na wamachinga mabarabarani....
 
Wadau wa jamii forum naomba mnifafanulie kuhusu ndugu Reg Mengi ambae ni mwkt wa IPP.Mbona anagombana na kila mtu hapa Tanzania. Je yeye ndiye mkorofi au hao viongoz wa serikali na watu binafsi?Amegombana na Masilingi. Rostam Aziz. Manji na sasa Mhongo. Je yeye ndiye mkorofi?
 
Kashindwa kufunga Juice zake na kusambaza vipeperushi ana gombana na wanasiasa tuu, ajitose tujuwe moja c kuzuunguka.mlango wa nyuma
 
Wadau wa jamii forum naomba mnifafanulie kuhusu ndugu Reg Mengi ambae ni mwkt wa IPP.Mbona anagombana na kila mtu hapa Tanzania. Je yeye ndiye mkorofi au hao viongoz wa serikali na watu binafsi?Amegombana na Masilingi. Rostam Aziz. Manji na sasa Mhongo. Je yeye ndiye mkorofi?

Mnafiki sana huyu jamaa. Akafie mbele.
 
Wadau wa jamii forum naomba mnifafanulie kuhusu ndugu Reg Mengi ambae ni mwkt wa IPP.Mbona anagombana na kila mtu hapa Tanzania. Je yeye ndiye mkorofi au hao viongoz wa serikali na watu binafsi?Amegombana na Masilingi. Rostam Aziz. Manji na sasa Mhongo. Je yeye ndiye mkorofi?

Kwa nini unasema anagombana na kila mtu? Aziz, Masilingi, Manji na Mhongo siyo kila mtu Tanzania. Yeye kama binadamu. Mtanzania, mfanyabiashara, n.k. lazima kuna kundi la watu hawezi kupatana nao.
 
Duh ilikuwa 2013, Inaama hawa sio Mafisadi ? Je hao Mafisadi wakija itakuwaje? Maana Mnatuambia hili ni Trailor na Picha kamili bado ?
 
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amesema kwa hali ya kisiasa inavyoendelea ipo siku mafisadi wataongoza nchi kwa kuwa mpaka leo hawajachukuliwa hatua zozote za kuwakamata na kuwafungulia mashataka. Na serikali imekaa kimya

Wakamate Nchi mara ngapi?
Huyu Mzee yuko Tanganyika ipi tena jamani? from Ben -JK mdundo ule ule!!!

Back
Top Bottom