Reginald Mengi amwaga Bilioni kwa WAMA

Reginald Mengi amwaga Bilioni kwa WAMA

Sijui ila nasikia SSB hutoa misaada yake kila Ijumaa na vigezo anavijua yeye mwenyewe.

Uyasemayo yana ukweli. Angalia wale wote wanauza Icecream(Lamba lamba) kwenye vile vibaiskeli vyake ni lazima awe na Kamzuzu,suruali fupi na Kibandiko kichwani!!
 
Kwa ufupi Bw Mengi amewatukana kistaarabu Mh. Rais na Mawaziri wake akina Prof Muhongo et all kwamba hata muuza Cocacola, maji ya chupa na juice anaweza kuwa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya nchi.

Na ukweli 'the timing' of the event/forum was very right place. Nafikiri hata Rais na wasaidizi wake watakuwa wameshikwa na haya mno. Kwani Mengi atakuwa amewajibu kwa kusirani🙂 lol. Na waacha hii serikali ikome kabisa 'mentality' na dhana yao ya kuwa Wazawa hawawezi.

Nchi yetu ya Tanzania tayari kuna watu ni matrillionea (wachilia mbali hao mabilionea na mamillionea chungu mzima kwa sasa). Hata kama walizipata kwa rushwa ni bora kufanya kama wenzetu kule Nigeria walivyofanya. Kama wazungu wanvyosema 'if you cant fight them join them'. Hivyo Nigeria ilifika point ikawa ni vigumu mno kuzipata fedha za kifisadi hivyo ilivyofanya ikawa ni 'ku encourage wale wenye hizo trillion kuwekeza nchini mwao wenyewe na serikali ikilinda mitaji yao ili pesa ile issishie kwenye mabenki ya Uswisi na offshore banks. Ndio maana leo nchini Nigeria kuna watu wanamiliki makampuni makubwa ya mawasiliano na sekta ya mafuta na gesi zikimilikiwa na wazawa vilevile.

'Maisha ni kujifunza'. Hivyo serikali yetu yapaswa kuwa sikivu na kutumia hekima. Mambo ya madherereu kwa raia unawaongoza na kushadidia wageni kuwa watawala wa uchumi wa nchi ndio 'angamizo' kuu linaloitafuna na kuiyumbisha nchi.
 
Nampongeza mzee Mengi kwa moyo wake wa kujitolea kwa mali halali
 
Bwana Mengi hakuanza leo kutoa michango ya maendeleo na misaada, amekuwa akifanya hivi muda mrefu na huu ni muendelezo tu.
Mungu amzidishie, Amen.
 
ukiangalia kwa upana huu msaada utagundua kuwa hili ni dongo kwa muhongo na naibu wake waziri wanao wadharau watanzania.
 
Rushwa ni sawa na kinyonga, ina rangi nyinginyingi
 
ukiangalia kwa upana huu msaada utagundua kuwa hili ni dongo kwa muhongo na naibu wake waziri wanao wadharau watanzania.

Kweli mkuu lakini Kuna waswahili hapa kama kawaida Yao na mawivu Yao ya kijinga yanamkamdia mzee Mengi Hulu yakisahau kuwa Kuna watoto wa like kadhaa toka familia masikini wanaopata elimu bure katika while hiyo ya Nakayama,na serikali ilishindqa kuwadaidia.
 
Ni kawaida ya freemason. Secret societies ni kawaida yao kwenye masuala ya kijamii.

utakufa na umasikini wako wa fikra. Pole kwa kuamini kila mwenye hela ni freemason!! Kwa bahati mbaya au nzuri ukiambiwa utoe "description" ya freemason hutaweza kuzungumza zaidi ya sentensi moja, ila unajitutumua kuwaita wenzio ni freemason.
 
Rushwa zina rangi nyingi nyingi kama kinyonga, usipokuwa macho utafikiri ni zawaidi, km unavyoweza kufikiri kinyonga ni panya

Isije ikawa wanatangulizwa
 
ukiangalia kwa upana huu msaada utagundua kuwa hili ni dongo kwa muhongo na naibu wake waziri wanao wadharau watanzania.

Tuvumiliane tu wadau! Huyu Muhongo ndo ivo kashakua janga letu. Ni kauzu kuliko dagaa!
 
Hongera Mengi.

Hongera zako ni za Kinafiki. Wewe si huachagi kuwatajataja Wachaga na kuwakosoa? Mbona hata Mengi ni Mchagga au kwa kua "Kakunwa"na first lady ndio maana umempa hongera?????????????????
 
Shule ya WAMA inasomesha vijana ambao ni yatima wenye kuhitaji ufadhili/msaada kwa 100%. Kwahiyo shule hiyo inamahitaji mengi kifedha kwa ajili ya malezi ya wanafunzi hao.
 
Back
Top Bottom