Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Kumbe hii serikali Ina mashabiki wake.... Aibu Sana kushabikia serikali legelege
hahahahahahhahahahahahhh mkuu hahahahhahahahahahahahhaMajizi haya
Ni kawaida ya freemason. Secret societies ni kawaida yao kwenye masuala ya kijamii.
Hongera Mengi.[/QUOTE
Kwa lipi dhambi 1 kuificha nyingine?
Nampongeza mzee Mengi kwa moyo wake wa kujitolea kwa mali halali