Regina Mwalekwa

Nimefurahi sana kusikia hivyo, walijiona ma star ndio upumbavu wa vijana wa bongo, hawana vision ya career hebu fikiria mtu kama yule dogo ayoo katoka ITV alikokua anasoma news sasa yuko cloud anafanya sijui kipindi gani hata hakijulikana akapandishwa stejini kavalishwa nguo za ajabu na kutangaza kilimanjaro awards ndio akaona kafika lakini hapo ndio mwisho. Jahazi is crap huwezi kusikiliza, Regina alijiona kapanda chati sauti nzuri allikua anafanya vizuri kwenye kipindi kule hakujua sababu alikua anakutana na watu wenye akili, kwa nini asinge tazama idhaa za kiswahili za BBC, Deutschewelle ama voice of amerika kuna watanga wenzie kule wakina mwamoyo wamejaza watu wa kwao peke yao angefika sasa yeye akawana anaangalia nyuma badala ya mbele, na kwa Joyce hakatizi tena huyo labda aende TBC kuliko jifia mbali what a waste of life
 
Vitakuwa vile vicheko vya hovyohovyo ndio vilivyowaondoa hapo jahazi
 
aaron, wasiwasi na kibonde have kipindi better that ever before... a perfect team
 
Back
Top Bottom