Uchaguzi umeisha na Rais wa jamhuri anataganzwa leo.Baada ya hapo hakuna jinsi ya kuhoji matokeo.
Nachukua fursa kumpongeza kwa dhati mama Regina Lowassa.
Amesimama na msimamo na amefanya kazi kubwa.
Ameitwa mjane wakati mume yu hai na amevumilia matusi mpaka ya nguoni.
Kila la kheri.
Shujaa wa kupiga watu makofi na kuzurula zurula ovyoooo.....
sikupata kumuona mama magufuli aiseee ngoja nisubiri siku ya kuapishwashujaa WA monduli labda kwetu ni mama magufuli ndio shujaa
Huyu mama nimemdharau sana kwa kushndwa kumshauri mumewe atulie ndani ya ccm baada ya kukatwa..sasa wamepata aibu,urais wameukosa na bado lupango panawasubiri.
Huyu mama, Mungu aniwie radhi, ila angekuwa mama yangu, ningejiona mfalme mbinguni! She's very smart and bright!
Huwezi mlinganisha na wake wa marais wote ambao tumewahi kuwa nao nchi hii... Nilitamani sana awe first lady, tungeona mabadiliko makubwa sana ktk ofisi yake, na watangulizi wake...!
Mshumbuz nae mlimwita shujaa hivi hivi,,,mitanzania kwa kusahau haijambo! Magufuli kakejeliwa sana! Mara hoo kauza nyumba kwa kimada wake,,mara wametengana na mkewe ndio maana haoni kwenye kampeni,,lkn mama yule alikaa kimya huku akiendelea kulea watoto wake..yule ndo shujaa zaidi!!