Jamani Watanzania tujitahidi kuwa na upeo kidogo na mambo tunayotaka kutafuta support ya walalmiakaji.....
Milioni 90,ni hela ianyoweza kununua gari mpya,ambayo inaweza angalau kudumu kwa miaka kadhaa,inaweza kustahimili mwendo wa mbali na kutumika km nyingi.
Mbunge anategemewa kuzunguka kwa wananchi na kwenda Bungeni miaka mitano.
Prado second hand(ama 3rd hand)ni kama Milioni 50
Prado mpya ni kama Milioni 75
Toyota Mark mpya ni kama Milion 35
Sasa tunataka wabunge wanunuliwe Toyota Mark watafika nazo wapi?
Ama wanunue magari 2nd hand,yaharibike in 2 years(kutokana na shughuli zao kuwa za kuzunguka sana),alafu tuanze kusema wabunge wanachezea hela zetu?
......Watanzania jamani,mambo mengine tusiwe na wivu wa kupindukia.....ni afadhali na wabunge tumewachagua wenyewe....mbona hatulalamiki magari ya viongozi wengine kama makatibu wakuu,makamishana,viongozi wa mashirika ya Umma?Just because wabunge tunawafahamu?Jamani watanzania tuna kazi kwelikweli......
Hewalla bwana iwapo Wabunge wetu wawe wateule! Kumlipa mshahara mfanyakazi serikali haina uwezo lakini kumlipa mbunge millioni 90 ni haki. Hivyo nim kweli kuwa fedha hizo zinatumika kununulkia magari? Kama issue ni magari basi serikali ingewanunulia na kuwapa hayo magari kwani si tunafikiri kuwa mbunge hawezi kufanya kazi zake mpaka awe na gari ya kupewa na kodi ya wananchi?
Wabunge hawa wengi wao ni matajiri wanao uwezo wa kunununua magari basi kwa nini sababu iwe magari? Najiuliza wabunge wa zamani hawakuwa wakitekeleza shuguli zao kwa kukosa milioni 90?