This is not serious.si juzi tu hapa alikuja na uzi wake hapa jf akitaka maoni ya wanajamvi na matatizo ya wananchi ili akayawakilishe bungeni!! Ee Mungu wangu tusaidie. R.I.P Regia Mtema.
Gari alilokuwa akiendesha Mwenyewe(Land Cruise)HZJ 100 alilolonunua Locus kwa mkopo wa Bunge ndo alilopata nalo ajali,Leo alimuacha Dereva wake na kujaribu kuliendesha mwenyewe.RIP regia