Kiukwel binafsi kalikawe simkubal , unajua kingine hapa bongo mziki wa reggae ni kama wanalazimisha tu, ndo mana miaka nenda rudi wataishia kuskia viredio vya mbao... Ila kiujumla reggae ukiiskiliza mistari yake ni khatareeeeee, mistari konzi, lazima uelewe.. Hebu kasikilize IT'S NOT EASY ya lucky dube usikie point na uhalisia wa maisha na somo alilotoa pale...Kalikawe nae haumkubali
Reggae ilikua ni ya bob marley na lucky dube ndo mana mpaka wa leo hii ukigonga ngoma za bob lazima wadau tukuelewe, bob alicover kila aina ya maisha kwenye songs zake..
Ila kwa sasa hakuna mpuuz hata mmoja wa reggae nnaemkubali... Kwa mfano sasa hivi nyimbo za bob na lucky dube zote zifutwe nadhan ndo inakua reggae bye bye.
Hawa wapuuz cku iz wao wanaimba cjui ndo ragga , ni makelele mengi na milugha isiyoeleweka..
Mkuu mimi ni mpenz wa reggae ila na kwa bahati mbaya walionifanya niipende reggae ni hio ma-legendary wawili, so labda nimeathiriwa na hilo, ila binafsi naamin hakuna reggae bila bob au lucky dube...Wewe si mpenzi wa reggae itabidi ukubali hao unawajua sababu walipata shavu kubwa la media dunia nzima na sio kwamba ni wabovu lahasha wako vizuri ila kuna vichwa vingi sana ndani ya hii tasnia hata kuwataja ni uvivu.
Hebu tuanze kwanza na walio hai: Winston Rodney aka Burning Spear....Hebu nipe kidogo wasanii wachache wa reggae waliojificha na nyimbo zao...
Mkuu, jaribu kutafuta nyimbo za Senzo, Alfa Blondy, Culture, Gregory Isack na Israel Vibration. UtawapendaMkuu mimi ni mpenz wa reggae ila na kwa bahati mbaya walionifanya niipende reggae ni hio ma-legendary wawili, so labda nimeathiriwa na hilo, ila binafsi naamin hakuna reggae bila bob au lucky dube...
Kama chura!Wakati una absorb ujumbe unakuwa unanesanesa.
I second you
Mkuu mimi ni mpenz wa reggae ila na kwa bahati mbaya walionifanya niipende reggae ni hio ma-legendary wawili, so labda nimeathiriwa na hilo, ila binafsi naamin hakuna reggae bila bob au lucky dube...
Hebu nipe kidogo wasanii wachache wa reggae waliojificha na nyimbo zao nijaribu kudownload niskie.
Asante, natanguliza shukrani
Asante mkuu nitalifanyia kazi naamin nitapata burudani na masomo pia.. AsanteMkuu, jaribu kutafuta nyimbo za Senzo, Alfa Blondy, Culture, Gregory Isack na Israel Vibration. Utawapenda
Asante sana bro.. Nitajitahid kupata rekodi chache niskize ...B
Burning Spears,Gregory Isaacs, Peter Tosh, Tanya Stephen, Jimmy Cliff, UB40, Alpha Blondy, Denis Brown na kama utapenda Sweet reggae kuna watu kama Morgan Hertage, Damian Marley( Nae ananyimbo nzuri zenye ujumbe, album yake ya Welcome to Jamrock iko vizuri sana.kama baba yake kwa jumla familia nzima ya watoto wako vizuri)
Alpha Blond namuelewa sanaaa c yule mzee wa jerusaaaalem, thnx bro nitaskiza kidogo nipate fleva ya tofautiMkuu, jaribu kutafuta nyimbo za Senzo, Alfa Blondy, Culture, Gregory Isack na Israel Vibration. Utawapenda
Bado ujasikiliza Reggae my bredren/sistren nakushauri tafuta records za Studio One chini ya mtu aitwa Clement Coxsone Dodd, Lee "Scratch" Perry na wengineo. Wanamuziki kama Max Romeo,Wailing Souls, John Holt na wa sasa kama Chezidek, Richie Spice, Romain Virgo.Reggae ilikua ni ya bob marley na lucky dube ndo mana mpaka wa leo hii ukigonga ngoma za bob lazima wadau tukuelewe, bob alicover kila aina ya maisha kwenye songs zake..
Ila kwa sasa hakuna mpuuz hata mmoja wa reggae nnaemkubali... Kwa mfano sasa hivi nyimbo za bob na lucky dube zote zifutwe nadhan ndo inakua reggae bye bye.
Hawa wapuuz cku iz wao wanaimba cjui ndo ragga , ni makelele mengi na milugha isiyoeleweka..
Asante sana bro.. Nitajitahid kupata rekodi chache niskize ...