Reggae bado tishio

Reggae bado tishio

Mkuu mimi ni mpenz wa reggae ila na kwa bahati mbaya walionifanya niipende reggae ni hio ma-legendary wawili, so labda nimeathiriwa na hilo, ila binafsi naamin hakuna reggae bila bob au lucky dube...
Hebu nipe kidogo wasanii wachache wa reggae waliojificha na nyimbo zao nijaribu kudownload niskie.
Asante, natanguliza shukrani
mkuu wasikilize culture na song zao kama BLACK STAR LINE,RIVERSIDE,I TRIED,SATAN COMPANY,MR SLUGGARD,PAYDAY,POVERTY,HUMBLE AFRICAN,SLAVE DRIVER,OUTCAST,INTERNATIONAL HERB,BURNING,I LOVE JAH,ALMAGIDEON,BEHOLD,JAH RASTA FARAI,CHRISTOPHER COLUMBUS,TRIBAL WAR,PEACE LOVE AND HARMONY,BE HONESTY,ONE STONE,WHY YOU WORRY ABOUT THEM,NO NIGHT IN ZION,MR MUSIC na nyingine kibao,ila jitahidi uisikilize hiyo misumari mkuu,hawa jamaa mimi nawasikiliza kama chakula yaani nimekuwa muathirika wa muziki wao,ndinga yangu huwa sisikilizi muziki mwingine zaidi ya ngoma za hawa wakali wa all time kwangu,jaribu kuutafuta muziki wao..
 
Elewa usikariri na ukipenda kitu chimbua kiundani, kuna akina Peter tosh ndo waasisi na Hugo Bob na luck ni wafuasi wa tosh,, sasa ivi kuna Stephen Marley, kymani Marley, protoje, chronix, jah cure, na wengi na wanakazi nzuri tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom