Regency park hotel iko mikocheni sehemu gani?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,785
2,000
wakuu vipi?
nimepigiwa simu na kampuni flani niende kwenye interview siku ya jumanne na interview itafanyikia regency park hotel wameniambia hiyo hotel iko mikocheni.so nilikua naomba kuelekezwa kutokea ubungo napanda daladala za wapi ili kufika hapo kwenye hiyo hotel?
natanguliza shukrani
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,989
2,000
Interview ya kampuni gan hyo inayofanyikia kwenye hotel ya kishua kama hiyo?
Hongera mkuu
 
tunka

Member
Oct 14, 2014
13
45
Panda gari za kawe hapo mawasiliano shuka kawe, then panda gari za mbagala au buguruni shuka kituo kinaitwa kwa mwalimu nyerere then utatembea kidogo kuelekea mbele, hotel ipo upande huo huo ulioshukia.
 
Halungu kwetu

New Member
May 18, 2017
3
20
wakuu vipi?
nimepigiwa simu na kampuni flani niende kwenye interview siku ya jumanne na interview itafanyikia regency park hotel wameniambia hiyo hotel iko mikocheni.so nilikua naomba kuelekezwa kutokea ubungo napanda daladala za wapi ili kufika hapo kwenye hiyo hotel?
natanguliza shukrani
brother mm mwenyewe nimeitwa ila jina la kampuni sikuskia vema maana naaply sehem nyingi mkuu plz nisaidie
 
Halungu kwetu

New Member
May 18, 2017
3
20
wakuu vipi?
nimepigiwa simu na kampuni flani niende kwenye interview siku ya jumanne na interview itafanyikia regency park hotel wameniambia hiyo hotel iko mikocheni.so nilikua naomba kuelekezwa kutokea ubungo napanda daladala za wapi ili kufika hapo kwenye hiyo hotel?
natanguliza shukrani
namba yangu 0712752600 naomba nitumie jina la kampuni kwa sms
 
tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
10,533
2,000
panda mwendokasi hapo ubungo,nenda mpaka Morocco then chukua daladala zinazoelekea Kawe uwaambie wakushushie mahali mgahawa wa kfc ulipo then utatembea mbele kama hatua mia hivi kuifikia regency park hotel.
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,898
2,000
Saa moja na nusu asubuhi huwa napita hapo Ubungo na Prado yangu naelekea Masaki.

Ni-PM nikupe lift maana nitapitia njia hiyo.
 
MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,107
2,000
Panda gari la kawe then shukia njia panda ya feza japo sio kituo rasmi ila utaomba msaada
Huyu yupo sahihi sana.
Ila jiangalie usiende kula kula chakula hovyo pale waweza kuja ambiwa
bili ya ugali samaki 60,000/=
 
MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,107
2,000
Saa moja na nusu asubuhi huwa napita hapo Ubungo na Prado yangu naelekea Masaki.

Ni-PM nikupe lift maana nitapitia njia hiyo.
sasa utanipa vipi lift ilihali nami ntakuwa na vitz yangu..??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom