Referendum for Zanzibar Independence

Naomba yeyote anayejua mmungano ulioundwa ukadumu kwa kushirkisha watu. USA, RUSSIA, UK nk people were beatern to the union. People were never consulted in the creation of our countries by colonialists. People are only consulted to legitimise the union. The existence of the Union will not depend on "consulting people" but on legitmising it.[/QUO
Mkuu hata wanafasalfasa kina Plato walikiri wengi huo hawaoni njia sahihi! wale wachache waliojaliwa uwezo wa kuona mbele lazima wawaongoze wale wasioweza kwa hiari ama kwa laima. Wengi wetu ni wafuasi ama wa Yesu ama Mohamad, hawa ndiyo tunaamini Mwenyezi aliwafunuliwa wao kwa ajili ya wengi na tunafuata bila kudai mambo ya kushirikishwa! hata kwenye siasa vivyo hivyo.
 
Naomba yeyote anayejua mmungano ulioundwa ukadumu kwa kushirkisha watu. USA, RUSSIA, UK nk people were beatern to the union. People were never consulted in the creation of our countries by colonialists. People are only consulted to legitimise the union. The existence of the Union will not depend on "consulting people" but on legitmising it.

Mkuu hata wanafasalfasa kina Plato walikiri wengi huwa hawaoni njia sahihi! wale wachache waliojaliwa uwezo wa kuona mbele lazima wawaongoze wale wasioweza kwa hiari ama kwa lazima. Wengi wetu ni wafuasi ama wa Yesu ama Mohamad, hawa ndiyo tunaamini Mwenyezi aliwafunulia wao kwa ajili ya wengi na tunafuata bila kudai mambo ya kushirikishwa! hata kwenye siasa vivyo hivyo.
 
Tatizo lenu vijana mnashindwa kabisa kutofautisha UHURU wa WANANCHI na UHURU wa BENDERA. Tanzania (Nyerere) alishabikia UHURU wa wananchi wa BIAFRA ambao walitengwa ktk maendeleo, hawakuwa na haki sawa na Waningeria wengine ndani ya nchi yao hivyo haijalishi kama mkoloni ni mzungu au mtu mweusi lakini hakuwapa support Biafra kwa sababu ya mipaka na kupeperusha Bendera yao bali kama njia ya wao kuwa huru kutokana na kukandamizwa.

Tuache Unafiki na hasa wa hawa viongozi wa Zanzibar ambao wanaendeleza madai ya UHuru wa bendra kuwa msingi wa kero zao. Wazanzibar hawatengwi iwe bara au mahala popote Tanzania wanaishi kwa haki sawa kabisa na Wabara...Na ningewaomba sana jamaa na ndugu zangu vijana wa Kizanzibar kukumbuka tu ya kwamba hata wakati wa Mtume Muhammad (SAW) walipigana vita ku free WATU waliokuwa wametawaliwa na kunyanyaswa (to liberate the oppressed)...

Na
ndio asili ya Mapinduzi hata ktk nchi za Kiafrika, Asia na dunaini kote - Free from oppression ndio imezaa Freedom na sii kutazama mipaka ya nchi na kumezwa kwake, hakuna hata hadithi moja inayozungumzia kuikomboa ardhi ya Saudia isipokuwa WATU waliokuwa utumwani na ndio maana walipigana wao kwa wao ndani ya mipaka yao..

Ni jambo jingine kabisa kupigania identity ya Zanzibar na uhuru wake na kujaribu kuitumia dini kukidhi matakwa ya kinafiki kama haya. Mnaitaka Zanzibar huru ya Sultan na waziri mkuu Shamte iwekeni wazi ifahamike kama ilivyo, lakini hata siku moja msitake kutumia oppression kama kisingizio cha madai haya wakati hakuna ushahidi hata mmoja ambao mnaweza kuuweka hapa kuonyesha dhulma wanayoipata Wazanzibar dhidi ya Wabara. Huu sii Uislaam bali ni Unafiki!
 
We supported Biafra (under Nyerere) Southern Sudan, East Timor, Kosovo for self determination

From Zanzibar owned forums the only thing they are talking about is how they would free themselves from the shackels of the mainland

It might not be the next 5 or 10 years but lets not fool ourselves, this Union was never there in the first place, citizens from both countries were never consulted, no one knows the articles and memorandum of the Union, Mainlanders are fed up of top up Zanzibaris Income Support, Zanzibaris are fed up with the medling from the mainland, Its a marriage that has reached reached its end and funny enough the young Zanzibaris and Mainlanders are fed up with politicians not being upfront with them on this matter, only few have dared to speak the unspeakable...former President Aboud Jumbe, Professor Haroub Otham, Professor Issa Shivji and one and only Tindu Lisu of CHADEMA

Young Zanzibaris do not trust the current CUF and CCM leadership (Maalim Seif and his CCM Cronies) to deliver them Independence I think there is always a way out of the Union...maybe free and fair referendum on the subject.

Can we discuss this issue (referendum without patronizing mainlanders or Zanzibaris) in JF Style of (matured and Great thinkers manner)?

Hakuna uhuru wa Zanzibar! siku wakijitoa kwenye muungano itabidi watanganyika watawale kijeshi kwa miaka 50 kabla masultani wa kiarabu hawajarudi kuwakalia!mark my words!!.
 
We supported Biafra (under Nyerere) Southern Sudan, East Timor, Kosovo for self determination

From Zanzibar owned forums the only thing they are talking about is how they would free themselves from the shackels of the mainland

It might not be the next 5 or 10 years but lets not fool ourselves, this Union was never there in the first place, citizens from both countries were never consulted, no one knows the articles and memorandum of the Union, Mainlanders are fed up of top up Zanzibaris Income Support, Zanzibaris are fed up with the medling from the mainland, Its a marriage that has reached reached its end and funny enough the young Zanzibaris and Mainlanders are fed up with politicians not being upfront with them on this matter, only few have dared to speak the unspeakable...former President Aboud Jumbe, Professor Haroub Otham, Professor Issa Shivji and one and only Tindu Lisu of CHADEMA

Young Zanzibaris do not trust the current CUF and CCM leadership (Maalim Seif and his CCM Cronies) to deliver them Independence I think there is always a way out of the Union...maybe free and fair referendum on the subject.

Can we discuss this issue (referendum without patronizing mainlanders or Zanzibaris) in JF Style of (matured and Great thinkers manner)?

Articles of Union na MoU za tanganyika na zenj jamani za nini, mbona sie wa kutoka tanga hatuulizi mou kati yetu na lindi. Ni 'nji' moja hii tuacheni maneno mingi. Wacha tuchape kwa job
 
we supported biafra (under nyerere) southern sudan, east timor, kosovo for self determination

from zanzibar owned forums the only thing they are talking about is how they would free themselves from the shackels of the mainland

it might not be the next 5 or 10 years but lets not fool ourselves, this union was never there in the first place, citizens from both countries were never consulted, no one knows the articles and memorandum of the union, mainlanders are fed up of top up zanzibaris income support, zanzibaris are fed up with the medling from the mainland, its a marriage that has reached reached its end and funny enough the young zanzibaris and mainlanders are fed up with politicians not being upfront with them on this matter, only few have dared to speak the unspeakable...former president aboud jumbe, professor haroub otham, professor issa shivji and one and only tindu lisu of chadema

young zanzibaris do not trust the current cuf and ccm leadership (maalim seif and his ccm cronies) to deliver them independence i think there is always a way out of the union...maybe free and fair referendum on the subject.

Can we discuss this issue (referendum without patronizing mainlanders or zanzibaris) in jf style of (matured and great thinkers manner)?

zanzibar is part of tanganyika like taiwan is to china
hahahahahaha!
 
Mkandara in action.. unajua uko paranoid sana. wewe wapi katika madai yao wazanzibar walieleza wanataka sultan na shamte warudi?hizo i idea zako wewe tu na kila mjadala ambao unahusu Zanzibar wewe basi utaleta Usultani na Shamte! move on Bro! tuko 2012 na siyo 60's tena.hiyo ya kung'ang'ania point moja kila wakati inaonyesha jinsi gani huna sensible arguments. nimeshawahi kukuambia huko nyuma ya kuwa huijui Zanzibar lakini unataka uonekani kama unaijua.Asilimia kubwa sana ya wazanzibar Wanakubali kabisa mapinduzi ya 64 lazima yatokee ima ya umwagaji wa damu au na siyo ya umwagaji wa damu lakini lazima yatokee,lakini kinachowaliza zaidi wazanzibari ni kwa nini baada kufanyika mapinduzi ambayo yaliacha vilio vingi sana na watu kupoteza malizao jamaa zao(waarabu na waafrika) ili kuondosha matabaka na unyonyaji zanzibar na unaenda kugawa uhuru huo kwa Tanganyika na kuwa ndiyo muamuzi wa mambo ya Zanzibar.sasa hapo kuna tofauti gani na Usultani.Sasa wanzazibar wanataka ku control their own destiny kama watauwana au vp lakini maamuzi hayatoki dodoma na usifikirie hizi ni kelele la mlango tu.. kwani hizi harakati zina gain momentum kila leo.Mwisho wacha kuwataja Sultani na Shamte.. wakati wao umepita tafuta kitu chengine cha kuzungumza ili ki support points zako

Tatizo lenu vijana mnashindwa kabisa kutofautisha UHURU wa WANANCHI na UHURU wa BENDERA. Tanzania (Nyerere) alishabikia UHURU wa wananchi wa BIAFRA ambao walitengwa ktk maendeleo, hawakuwa na haki sawa na Waningeria wengine ndani ya nchi yao hivyo haijalishi kama mkoloni ni mzungu au mtu mweusi lakini hakuwapa support Biafra kwa sababu ya mipaka na kupeperusha Bendera yao bali kama njia ya wao kuwa huru kutokana na kukandamizwa.

Tuache Unafiki na hasa wa hawa viongozi wa Zanzibar ambao wanaendeleza madai ya UHuru wa bendra kuwa msingi wa kero zao. Wazanzibar hawatengwi iwe bara au mahala popote Tanzania wanaishi kwa haki sawa kabisa na Wabara...Na ningewaomba sana jamaa na ndugu zangu vijana wa Kizanzibar kukumbuka tu ya kwamba hata wakati wa Mtume Muhammad (SAW) walipigana vita ku free WATU waliokuwa wametawaliwa na kunyanyaswa (to liberate the oppressed)...

Na
ndio asili ya Mapinduzi hata ktk nchi za Kiafrika, Asia na dunaini kote - Free from oppression ndio imezaa Freedom na sii kutazama mipaka ya nchi na kumezwa kwake, hakuna hata hadithi moja inayozungumzia kuikomboa ardhi ya Saudia isipokuwa WATU waliokuwa utumwani na ndio maana walipigana wao kwa wao ndani ya mipaka yao..

Ni jambo jingine kabisa kupigania identity ya Zanzibar na uhuru wake na kujaribu kuitumia dini kukidhi matakwa ya kinafiki kama haya. Mnaitaka Zanzibar huru ya Sultan na waziri mkuu Shamte iwekeni wazi ifahamike kama ilivyo, lakini hata siku moja msitake kutumia oppression kama kisingizio cha madai haya wakati hakuna ushahidi hata mmoja ambao mnaweza kuuweka hapa kuonyesha dhulma wanayoipata Wazanzibar dhidi ya Wabara. Huu sii Uislaam bali ni Unafiki!
 
Lakini sisi wapemba pia tunataka kisiwa chetu hatutaki kutawaliwa na waunguja daima.....

Tunaomba katika referendum hiyo watuulize wapemba kama tunataka kubaki na waunguja

Hata sisi Wa Tanganyika tuko na makabila mengi tu kama 100 tunataka machifu wa kila kabila letu na haki ya kila mkoa wa Tanganyika!!!
Tusisahau utamaduni wetu ndugu zangu watanganyika makabila yetu ndio ubora wa taifa letu la Tanganyika.

Orodha ya makabila ya Tanganyika Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rukia: urambazaji, tafuta
Hii orodha ya makabila ya Tanganyika inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali.
Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanganyika inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine.
Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya.
Juu ya hivyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vina mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao.
Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanganyika, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanganyika na nchi za jirani.
Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanganyika kama wakimbizi tu, hasa kutokana na vita katika nchi za jirani. Vilevile ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Uarabuni au Uhindi.
 
Sisi watu wa kusini tunataka kuanzisha nchi yetu, itaitwa The Isolated Republic of SONGEA, with effect from 2015! Tumechoka kutengwa kimaendeleo!
 
Mambo ya mafuta yatawatenga watanzania saana. Mafuta anayaweza Museven tu. Kuna nchi hapa Afrika siku mafuta yalipoanza kuchimbwa ndio siku hiyo hiyo alizipiga. Na Zanzibar wanaweza kuzipiga pia sababu ya Mafuta. Nona hiyo referendum ije haraka
 
Kwa hiyo nyinyi Tanganyika mko kwenye Muungano kuwasaidia Wazanzibar tu?

no need of union, because even every part of the country can be on it's own. The country is big than Kenya, Uganda, Burundi and Rwanda, but these parts of land are country. there is no any benefit of union to me and many Tanganyikans. we will loose nothing.
 
Na sisi watu wa mikoa ya kusini yaani mtwara na lindi na pwani bila kusahau visiwa vya Mafia tumechoka kutawaliwa na watu wa kaskazini na lake zote.

Tunaomba referendum hiyo watuulize kama tunataka tujiunge na Wakaskazi au tujiunge na msumbiji.

Unaimanisha kina Mkapa, Membe, Manyanya na wengine sio?
 
Back
Top Bottom