EMT, je unadhani kuna siku moja ama referendum au plebiscite itaweza kufanyika Marekani kuhusu kujitenga kwa Texas?
Jibu ni hapana, haitawezekana kwa sababu ita"
set bad precedence" ila wanaweza kutumia nguvu kujitenga kama wanayo! Na Zanzibar pia hivyo hivyo, wanaweza kuchukua maamuzi ya kujitenga kama wana ubavu lakini si kwa makubaliano kama inavyodaiwa kwani inatoa mwanya kwa nchi kusambaratika. Kwanza kura ya maoni haitabiriki na pili ikiruhusiwa kwa nini kesho na kesho kutwa sehemu nyingine ya Tanzania isifanye hivyo. Ngoja nitoe mfano;
Texas entered the union in 1845 but with the understanding it could pull out (sio kama Zanzibar). Texas however did decide to secede in 1861, but the North's victory in the Civil War put an end to that through force and might. Early last year Rick Perry, the governor of Texas, stroked political fires when he mentioned Texas secession at a public anti-tax rally on April 15th, 2011. Many famous sayings are known to be of Texas origin such as "Remember the Alamo," and "Don't Mess with Texas." These sayings highlight the feelings of most native born, and transplanted Texans of
patriotism to Texas first, then second to the United States...yale yale ya Uzanzibari!
Rick Perry suggested that seceding from the union could be benefit Texas but was Rick Perry's secession talk only an isolated politician spouting hype? No, there are at least 6 organizations that actively campaign for a Texas secession including the Texas Nationalist. Most Texas succession activists claim the US government saps the wealth of Texas and forces socialistic ideals upon a state with strong independent abilities. These secession activists would like to see Texas regain pride and strength through seceding from the United States union...Madai kama ya Uamusho?
In reality, can Texas secede? Maybe, but only if they have the power and might...je Zanzibar wanazo? Kama wanazo, hawana haja ya kubembeleza. Kuungana na kuwa nchi moja kunaweza kukahitaji mjadala na kukubaliana lakini kujitenga ni "enemy action" hakuwezi kujadiliwa kwa amani kwa sababu kunatokana na pande mbili kutokubaliana. Ni sawa na harusi, inafungwa kwa shangwe lakini inapovunjika ni mambo mengine kabisa na wakati mwingine kunazaa uadui baina ya pande mbili hasa pale dai la msingi linapohusu kukosekana kwa haki, upendo na kuaminiana.