Redundancy kubwa kutua NSSF/PPF/GPF

Pole Serikali, kwenye zoezi hili la kuunganisha mifuko, ndipo mtajua madhara ya PPF kuzidisha wafanyakazi kwa sababu zilizokuwa si za msingi.

A lot of money itatumika kulipa kwenye kuwapunguza.
 
Pole Serikali, kwenye zoezi hili la kuunganisha mifuko, ndipo mtajua madhara ya PPF kuzidisha wafanyakazi kwa sababu zilizokuwa si za msingi.

A lot of money itatumika kulipa kwenye kuwapunguza.
Unaichukia sana PPF na uongozi wake inaonekana ulifukuzwaga PPF..Kwa taarifa yako tu mfuko imara ni PPF kuzidi mifuko yote ata kiukaguzi
 
Unaichukia sana PPF na uongozi wake inaonekana ulifukuzwaga PPF..Kwa taarifa yako tu mfuko imara ni PPF kuzidi mifuko yote ata kiukaguzi
Lazima wewe ni mwizi wa mali za umma ndio maana unashabikia wezi.

Kamwe siwezi furahia ufisadi wa PPF.

Hivi Rais Magufuri anavyo wachukia wezi na mafisadi majizi naye amefukuzwa?
 
Hii mifuko ya jamii hujiingiza ktk miradi mikubwa na isio na tija kwa wanachama ili mradi viongozi wanapata 20% ktk miradi hiyo. ndio maana wastaafu akiba zao huchelewa kupatikana na ni kidogo sana.
 
Unaichukia sana PPF na uongozi wake inaonekana ulifukuzwaga PPF..Kwa taarifa yako tu mfuko imara ni PPF kuzidi mifuko yote ata kiukaguzi
uzuri wa ppf uko wapi? unajua mstaafu anapata nini ktk huu mfuko baada ya utumishi wake?
Unajua wafanyakazi wa ppf wanavyolipwa fedha nyingi pindi wao wanapostaafu?
Unajua miradi mingi ya ppf ilivyo ya hasara?
Kaa kimya na funga domo lako chafu lenye harufu ya kinyesi.
 
Lazima wewe ni mwizi wa mali za umma ndio maana unashabikia wezi.

Kamwe siwezi furahia ufisadi wa PPF.

Hivi Rais Magufuri anavyo wachukia wezi na mafisadi majizi naye amefukuzwa?
Usikurupuke kwa ajili ya stress zako...PPF ndio mfuko ambao upo stable kwenye balance sheet daily PPF inaonekana uliharibu au ulikosa cheo unahangaika daily Kuchafua Management ya PPF
 
Tuli
Tulia kitendo cha kutokulipa mafao mengi hakiusian na stability ya mfuko...elimu muhmu kwenye haya masuala...Unafungua ID kibao ksa PPF...kwa taarifa yako mfuko ambao miradi yake ni white elephant ni NSSF ujue tu...taja mradi wa hasara wa PPF
 
100% wapunguzwe tu ili nao waonje utamu wa kukaa bila kazi na kusubiri mafao mpk miaka 55 au 60!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…