Redio nyingi hazisikiki vizuri hapa mjini ukilinganisha na zamani

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,167
Reaction score
4,481
Changamoto hii inasababishwa na nini?

Kiss FM
RFA
CLOUD FM
CAPITAL RADIO
RADIO ONE
TBC 1 N.K

Hizi ni moja ya radio zilizosikika vizuri sana iwe kwenye simu au radio yenyewe.

Radio zibgine kama wasafi fm, na chipukizi zote hazisikiki vizuri ukiwa kwenye gari au ukiwa na simu au radio kuna sauti kama ya shwaaaa ma sauti ua maongezi yanakuwa chini sana hayachuki vizuri kama radio za kenya

Eti mimi pekew naexperience hii shida au wadau wengine mnapata hii shida.

Unakuwa na route si huwezi shika simu basi unajaribu kusikiliza radio ni kazi nzito.

Au mafundi mitambo wamekuwa hadimu
 
Wewe umezamia dsm kutoka kijiji gani kwanza? Namana mwaka huu buku 2 na ishirini na 6 bado unahangaika na redio kweli! Anyway dhambi za ccm zimekuwa nyingi kiasi kwamba zimechafua anga mawimbi yanashindwa kutililika vema.
Radio ina uzuri wake, kuna wengine hawapendi TV wala INTERNET.
 
Wewe umezamia dsm kutoka kijiji gani kwanza? Namana mwaka huu buku 2 na ishirini na 6 bado unahangaika na redio kweli! Anyway dhambi za ccm zimekuwa nyingi kiasi kwamba zimechafua anga mawimbi yanashindwa kutililika vema.
UKISHAKUWA MJINGA MJINGA USIJARIBU KUREPLY NYUZI ZA WATU.

MIMI BADO NASIKILIZA RADIO NA KIUCHUMI UENDA NAKUZIDI WEWE ENDELEA KULA MIKATE YA SHEMEJI YAKO HUKO MBEZI .

MACHINE MBILI TU ZA KAZI ZANGU ZINANUNUA KIWANJA NA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KISASA MPAKA KUKAMILIKA. NIONE MSHAMBA
 
Sure, nying ni za short frequency kwahio mawimbi kuingiliana ni rahisi sana. Mfano Kuna muda ukisogea bagamoyo frequency ya radio one hua inashika ya radio free. Zipo nying tu.
 
Ngoja TUONE wataalamu WA frequency watatupa elimu au Kuna changamoto ya vifaa LAKINI mbona Sasa radio NYINGI haziko vyema au ugawaji WA frequency unainghiliana kwanini iwe hivi
 
UKISHAKUWA MJINGA MJINGA USIJARIBU KUREPLY NYUZI ZA WATU.

MIMI BADO NASIKILIZA RADIO NA KIUCHUMI UENDA NAKUZIDI WEWE ENDELEA KULA MIKATE YA SHEMEJI YAKO HUKO MBEZI .

MACHINE MBILI TU ZA KAZI ZANGU ZINANUNUA KIWANJA NA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA VITATU VYA KISASA MPAKA KUKAMILIKA. NIONE MSHAMBA
Mazumbukuku wengi wa maarifa ndivyo walivyo, hushindwa kujizuia hasira zao na hukimbilia kupayuka na kujitapa madude ya hovyo ambayo hata hawajaulizwa, hili jambo linasikitisha sana.
 
Ah wewe NAYE Kaa kando basii kwani utakufa unamwitaje mshamba mtun usiyemjua, dogo umekariri sana maisha NB HUNA unachojua kuhusu Mimi Kaa pembeni HUNA Cha kunifunza

Dogo unataka nitumie insta nikiwa nadrive nisikilizie internet radio gani iko KWENYE internet hapa bongo wewe NDO zumbukuku WA kienyeji una chochote hapa?
 
Wewe umezamia dsm kutoka kijiji gani kwanza? Namana mwaka huu buku 2 na ishirini na 6 bado unahangaika na redio kweli! Anyway dhambi za ccm zimekuwa nyingi kiasi kwamba zimechafua anga mawimbi yanashindwa kutililika vema.
Ajali nyingine ni za kujitakia tu
unasikiliza tbc kwenye gari yako ili iweje?
huyu atakuwa wale mbogamboga!
 
Transmitter si ni zile zile au wamebadilisha, maana signal strength inategemeana na power ya transmitter, Na pia reflection ya fm signals kwenye majengo inaweza ikapunguza strength ya signal
 
Ah wewe NAYE Kaa kando basii kwani utakufa unamwitaje mshamba mtun usiyemjua, dogo umekariri sana maisha NB HUNA unachojua kuhusu Mimi Kaa pembeni HUNA Cha kunifunza

Dogo unataka nitumie insta nikiwa nadrive nisikilizie internet radio gani iko KWENYE internet hapa bongo wewe NDO zumbukuku WA kienyeji una chochote hapa?
Katika maoni yangu hakuna sehemu nimetamka neno MSHAMBA, isipokuwa nilikuwa najaribu kuelezea uharisia wa mambo jinsi ulivyo kupitia njia ya kisanii, tatizo lako unaendeshwa na mihemko na kukalili kila mtu anayepingana na wewe anakuona mshamba, ndiyo chanzo cha kubwatuka na kupayuka hovyo kama hivi.
 
Back
Top Bottom