Redio Imaan na Tv Imaan kwanini zinabagua Wanawake?

NDEKUYO

Senior Member
Oct 6, 2012
184
33
Jamani mimi ni muislamu lakini mbona sijawahi fundishwa madarasa kuwa wanawake wabaguliwe katika shughuli mbalimbali? Redio na tv imani hawana mtangazaji hata mmoja mwanamke mbaya zaidi hata akipiga simu kuchangia anakatiwa simu, muuh! Mbaya sana. Mbona ile redio ya BAKWATA ina watangazaji wanawake? Uisalamu wa Redio na Tv imani ni upi? Basi sisi waislamu tunakasoro mbaya sana.
 
jamani mimi ni muislamu lakini mbona sijawahi fundishwa madarasa kuwa wanawake wabaguliwe katika shughuli mbalimbali? Redio na tv imani hawana mtangazaji hata mmoja mwanamke mbaya zaidi hata akipiga simu kuchangia anakatiwa simu, muuh! Mbaya sana. Mbona ile redio ya bakwata ina watangazaji wanawake? Uisalamu wa redio na tv imani ni upi? Basi sisi waislamu tunakasoro mbaya sana.
mkuu. Kweli lkn naona viongozi wote wakikiristo ni wanaume na sijasikia mkiristo tz akawa padri. Jee nao sio ubaguzi wa kijinsia
 
Wewe umesoma madrassa,,,,,nenda kasome surat an-nur,kaangalie role za mwanaume wa kiislam na mwanamke wa kiislam,,,,,,
 
napata mashaka kama wewe ni muislam kwakuwa hilo swali hapa si pahala pake.
Tafuta wanazuoni wa kiislam uwaulize. Kusoma madrasa sio kujua kila kitu ktk dini.
 
mkuu. Kweli lkn naona viongozi wote wakikiristo ni wanaume na sijasikia mkiristo tz akawa padri. Jee nao sio ubaguzi wa kijinsia

Mchungaji dokta Rwakatare ni mwanaume??? mchungaji Mrs Fernandes ni mwanaume??
 
mkuu. Kweli lkn naona viongozi wote wakikiristo ni wanaume na sijasikia mkiristo tz akawa padri. Jee nao sio ubaguzi wa kijinsia

hapana padre ni kwa wanaume wanawake masisita hapo usawa upo.
 
Kwani huoni hata huko misikitini mwa waweka nyuma?tafsiri yake nini?nadhani kwao mwanamke ni chombo cha starehe na kiwanda cha kutengeneza watoto.na wenyewe wamekubaliana na hiyo hali so sioni tatizo ikiwa wahusika wako kimya.
 
Si ndio maana ronaldinyo anao wawili na anatembea nao
 
acheni kupoteza muda kujaribu kuulinganisha uislam na giza la umagharibi.
Havilingani hata kidogo, ni sawa na kulinganisha alie hai na maiti.
 
Wewe uliyesoma madrasa nakushauri urudi tena na usome kweli sio blablaa!Uliza wenye elimu na usipende kudiscuss kitu ambacho huna elimu nacho kama kweli ww ni muislam!MUNGU akufungue akili na upate ufahamu.
 
Ww ni muislamu bt huujui uislamu nenda kasome uislamu usilete hoja usioijua acha ushabiki...
 
Press tv ya iran ina watangazaji wanawake wengi. Radio na tv iman huenda wana dini yao yenye sheria hizo.
 
acheni kupoteza muda kujaribu kuulinganisha uislam na giza la umagharibi.
Havilingani hata kidogo, ni sawa na kulinganisha alie hai na maiti.

kama ukristo ni umagharibi je uislamu umesahau umetoka wapi? jiulize dini ya mwafrika ni ipi,tusikae kuchukiana kwa vitu ambavyo ni utamaduni wa wokoloni, uislam ina culture ya kiarabu ndio maana wanabagua wanawake.
 
hapana padre ni kwa wanaume wanawake masisita hapo usawa upo.

hakuna usawa hapo acha kudanganya watu,,,,sista ataendelea kufanya ya kisista na padri ataendelea kufanya ya kipadri na ndo atayeamua kila kitu juu ya sista hata akitaka kumlala,,,sista hana KAULI
 
Back
Top Bottom