Redio Free Africa yarudi hewani kwa kishindo

Redio Free Africa yarudi hewani kwa kishindo

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,851
Reaction score
7,767
Redio RFA inayomilikiwa na mwanasiasa nguli Anthony Diallo imerejea hewani kwa kasi ya 6G na hivyo kumaliza mzizi wa fitna ulioanza kuzagaa kuwa inatoweka kwenye Tasnia ya habari. Bila shaka TRA washalipwa deni lao la Tsh bilioni 4.
 
Mishahara ya washkaji keshalipa?

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
ina maana magazeti washaanza kuriport? maana ikinyesha mvua tu utasikia
 
Back
Top Bottom