Redio free Africa haipatikani hewani

Redio free Africa haipatikani hewani

Sijui yale mafao ya ubunge yana chuma ulete
Mimi mwenyewe huwa sielewi yaani ni ngumu kumkuta MTU kaacha ubunge then akawa na consistency nzuri ya kiamaisha zaidi kila uchaguzi utamkuta anapambana arudi bungeni .

Wanatamani hela nyingi Ila hawana mipango vision less

Ila nasikia Dialo mwaka 2015 alivyokuwa Ana -cover matangazo ya ccm hakulipwa alitoka 0-0 hii pia ilimsababishia kuanguka kiuchumi .

Kumbuka Ku-cover matangazo ya Ccm msimu wote wa kampeni kuna gharama aliingia na kuna baadhi ya matangazo alikuwa hayapokei .

Ina maana kukosa Ubunge since 2010 kutolipwa hela zake 2015

Yote hii ilichangia kuyumba

Mwaka 2021 nilimsikia akisema kuwa Rais wa awamu ya 5 hakuwa vizuri kichwani.

Ila mwenzake shigongo na yeye alikuwa anaadai Ila yeye walimwambia watampatia ubunge deni lake kitafidiwa kwa style hiyo
 
Pole yake ikibidi abinafsishe redio kama sio kuiuza ili na yeye abaki kuwa msikilizaji
 
Ofa nyingine kwa Shigongo ni kusoma chuo kikuu akitokea darasa la saba
 
Inasemekana wabunge wengi wanakuwa na mikopo mikubwa hivyo pension yao ndo inakuwa dhamana kulipia hayo madeni
 
Pole yake ikibidi abinafsishe redio kama sio kuiuza ili na yeye abaki kuwa msikilizaji
Baada ya ujio/ uwepo wa social media na online radio/tv , hizi main stream media zimepata ushindani mkubwa hivo kupoteza soko la wasikilizaji, ni ngumu sana mtu kutoa hela zake kuwekeza huko
 
Radio yangu pendwa tangu nikiwa mdogo, inasikitisha sana kuona inakufa kifo cha kikatili namna hii, kwa sasa haina hata watangazaji wa kuvutia,
 
Back
Top Bottom