Redio free Africa haipatikani hewani

Redio free Africa haipatikani hewani

Hakika mkuu, ubunge bongo dili sana ndo maana watu wanautaka kwa kila njia
Sana unakuwa peponi ya duniani unachezea chura hadi na tope lake ukifika bungeni unalala kidogo bila waliokuchagua kukuona.Aliyezuia mubashara wa bunge ana akili sana na awe na maisha marefu
 
Mwenye radio alimtukana marehemi JPM lazima karma ifanye kazi yake.

Lakini anamadeni ya watangazaji walioshinda kesi ya madai ya malipo ya moshahara Yao.
 
Mwenye radio alimtukana marehemi JPM lazima karma ifanye kazi yake.

Lakini anamadeni ya watangazaji walioshinda kesi ya madai ya malipo ya moshahara Yao.
Wamemkomalia akina mwita maranya
 
Radio yangu pendwa, vipindi vyangu pendwa Bolingo time Jumanne, Millenium Alhamis, BBC asubuh, magazeti na matukio asubuhi.

Inasikitisha kuona inaenda kufa kizembe 😓
 
Radio yangu pendwa, vipindi vyangu pendwa Bolingo time Jumanne, Millenium Alhamis, BBC asubuh, magazeti na matukio asubuhi.

Inasikitisha kuona inaenda kufa kizembe 😓
Kifo cha mende
 
Attachments

  • Screenshot_20250629-100618.jpg
    Screenshot_20250629-100618.jpg
    179.2 KB · Views: 12
Back
Top Bottom