Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,269
- Thread starter
- #61
Hajaoa mnyarwanda kweliMwenye radioo mpumbavu Sana, ila masukusu yanayotoka huo ukanda wao Yako hivyo.
Hajaoa mnyarwanda kweliMwenye radioo mpumbavu Sana, ila masukusu yanayotoka huo ukanda wao Yako hivyo.
Sikiliza mtandaoniHili redio sijaielewa pamoja na kuwa na vipindi vizuri. Cha ajabu hii redio kuna wakati haipatikani hewani hata masaa masaa mawili ukifungulia redio utasikia inafoka tu.
Kila saa nne asubuhi kuna kipindi cha "Sintosahau" lakini ndo muda hautaipata hewani.
TCRA, jumuiya za walaji na mamlaka zingine tusaidieni tusipate shida ya afya ya akili na redio, television na hata ving'amuzi vyenye kuongeza shida katika hisia na akili za walaji
Unajua umeme wa kuwasha jenereta la kusambaza umeme kiwanda cha redio mkuuJenereta
Sgr imekwamia wapiUmeme Leo ni nchi nzima
Search line - sina uhakika aisee kama bado kipoKuna kile kipindi cha watu wanatafutana waliopoteana sijui kama bado kipo
Ukanda warundi, wanyaru, niwengi mno, hafu wanaponda sn waume zao Kwa mauchawi, ss kama kalishwa matakataka unazani atakuwa nazoHajaoa mnyarwanda kweli
Hao Wana emergency powerSgr imekwamia wapi
KwishneUkanda warundi, wanyaru, niwengi mno, hafu wanaponda sn waume zao Kwa mauchawi, ss kama kalishwa matakataka unazani atakuwa nazo
Na kule ngara ni shidaUkanda warundi, wanyaru, niwengi mno, hafu wanaponda sn waume zao Kwa mauchawi, ss kama kalishwa matakataka unazani atakuwa nazo
Mamlaka husika zikija ndio zitaifungia mazimaTCRA, jumuiya za walaji na mamlaka zingine tusaidieni
Na huku umefika tenaRFA ina kiseyeye sugu.
Nipo studio nawasaidia kuwasha mics.Na huku umefika tena