Redio free Africa haipatikani hewani

Redio free Africa haipatikani hewani

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,485
Reaction score
3,229
Hili redio sijaielewa pamoja na kuwa na vipindi vizuri. Cha ajabu hii redio kuna wakati haipatikani hewani hata masaa masaa mawili ukifungulia redio utasikia inafoka tu.

Kila saa nne asubuhi kuna kipindi cha "Sintosahau" lakini ndo muda hautaipata hewani.

TCRA, jumuiya za walaji na mamlaka zingine tusaidieni tusipate shida ya afya ya akili na redio, television na hata ving'amuzi vyenye kuongeza shida katika hisia na akili za walaji
 
Diaro tangia akose ubunge radio yake imeyumba Sana kiukweli mm mwenyewe hiyo ndo ilikuwa radio yangu tangia nina miaka 7

Watangazaji wote wakali walimkibia sasa hivi ile ladha imepotea kabisa no creativity no innovation .
 
Upo sahihi, mimi huwa nasikiliza BBC kupitia kwao ila ni siku 3 au 4 /7 ndiyo wanapatikana
 
Diaro tangia akose ubunge radio yake imeyumba Sana kiukweli mm mwenyewe hiyo ndo ilikuwa radio yangu tangia nina miaka 7

Watangazaji wote wakali walimkibia sasa hivi ile ladha imepotea kabisa no creativity no innovation .
Sijui yale mafao ya ubunge yana chuma ulete
 
Changieni pesa ili kuwapunguzia gharama za uendeshaji wa kampuni
 
RIP my favourite radio... Mida kama ya saahizi namsubiria Umil Kheir kutoka Bon Ujeruman. Deustch wel
 
Jumapili RFA ilikuwa inavipindi bomba sana, sijui kwa sasa maana ni muda sijasikiliza. Halafu inawatangazaji wachache sanaa
 
Diaro tangia akose ubunge radio yake imeyumba Sana kiukweli mm mwenyewe hiyo ndo ilikuwa radio yangu tangia nina miaka 7

Watangazaji wote wakali walimkibia sasa hivi ile ladha imepotea kabisa no creativity no innovation .
juzi nilisikia kama sauti ya Wambura Mtani Jambo Radio ya Kahama, nae kashamkimbia Diallo?
 
Back
Top Bottom