Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Eti Babaake?
Hakuna asichokijua humu! Anajua hata "Mswati!"
Shangaa!
teh ! teh ! teh !
Kama anajua mpaka mswati huyo ni bonge la mwenyeji mkuu.
Eti Babaake?
Hakuna asichokijua humu! Anajua hata "Mswati!"
Shangaa!
sitaki kuamini kama King Mswati umeanza kupoteza kumbukumbu mapema hv!!
halafu mi nawashangaa wanavyo jilazimisha kukuita mswati, waambie wakome, mswati ni Kaizer
ningemwita Heaven on earth hapa ila hachelewi kunikan
maji yana tabia moja, huwa hayazuiliki, yanaonyeswaga njia tu inapobidi. vivyo hivyo na ukweli....huwa haukubali kupindishwa...sasa basi hebu tuache historia ifanye kazi yake apa
CC Arushaone ....kwa kumbukumbu
Lady doctor .....kwa taarifa
BCC KOKUTONA Arabela Filipo Lily Flower Mzee wa Rula PakaJimmy
Free Thinker,
Wanasema ng'ombe haozi maini :tongue:. Ule uwezo wa pande zile mie nilisha staafu kabaki mdogo wangu gfsonwin. Na kama ujuavyo baba watoto Kaizer hawezi kutoshelezwa na mmoja :wink2: Hivyo ikabidi mimi na Gf tukubaliane kabisa achague mwingine tumfahamu badala ya kuibiwa huko vichochoroni. Lol.
Nashukuru sana kwa kunilindia huyu baba, ila naombeni mumuache mdogo wangu DEMBA apumuwe! 😛hoto:
I um not ginias!
And athor words yuo hav writtened are nt in dictshenary!
Btw how is our lady, YNNAH?
Free Thinker,
Wanasema ng'ombe haozi maini :tongue:. Ule uwezo wa pande zile mie nilisha staafu kabaki mdogo wangu gfsonwin. Na kama ujuavyo baba watoto Kaizer hawezi kutoshelezwa na mmoja :wink2: Hivyo ikabidi mimi na Gf tukubaliane kabisa achague mwingine tumfahamu badala ya kuibiwa huko vichochoroni. Lol.
Nashukuru sana kwa kunilindia huyu baba, ila naombeni mumuache mdogo wangu DEMBA apumuwe! 😛hoto:
Mr. Free Thinker are you a genius ?
Either an extraordinary person!
Coz if you pursue happiness you are an ordinary person!
If happiness pursues you , you are an extraordinary person!
Msalm mkeo Marry Hunbig