KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
hah hah hah haaa! Unamchimba mkwara Mzee wa Rula!!!?
Tutakomajeee mwaka huu
hah hah hah haaa! Unamchimba mkwara Mzee wa Rula!!!?
Kwa hiyo wewe ndio umekuwa dikshenare ya Chit chat????
:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu:busu
Duuuh..kweli umekasirika.
hilo mbona nalijua darling, ila nashangaa wanavyokushupalia utafikiri wanalipwa mpenzi
Chagua Shansarie kuwa miss chit chat 2013
Chagua bibi bomba Lady doctor kura yako ndo mafanikio yake
Tanteeeeeeeeee!!!!!!!!!
Hapo nilimpiga Mzee wa Rula mkwara goat tu bibie. Sinaga hasira hata kidogo aisee.
Hujatetemekaaa?