Redies and gentlomen

Redies and gentlomen

kama lugha imekushinda si uache kuandika
mijitu ya facebook utaijua tu

I bet you have not read the thread flow and figure out my aim of jotting it down!!!!
Hapo kwenye read kunaonesha wewe ni kilaza wa kawaida tu...
 
Free Thinker,

Wanasema ng'ombe haozi maini :tongue:. Ule uwezo wa pande zile mie nilisha staafu kabaki mdogo wangu gfsonwin. Na kama ujuavyo baba watoto Kaizer hawezi kutoshelezwa na mmoja :wink2: Hivyo ikabidi mimi na Gf tukubaliane kabisa achague mwingine tumfahamu badala ya kuibiwa huko vichochoroni. Lol.

Nashukuru sana kwa kunilindia huyu baba, ila naombeni mumuache mdogo wangu DEMBA apumuwe! 😛hoto:

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa........ madam AshaDii utabaki kuwa the queen of JF ever,lol!!!!
 
Last edited by a moderator:
oyaa Free Thinker umejiunga 2013 unamfaham AshaDii mke wangu?

Ni hivi, wake zangu, AshaDii, gfsonwin, na DEMBA ndo mupyaaa kabisa, kichuna wangu, anapewa mafunzo na dada zake bila tatizo. upo apo?

Baada ya kusema hayo, unaweza kuja PM kuniambia ID yako ya zamani kabla sijagugo?

BCC Asprin kwa utekelezaji
Duuuu... nilikuwa machimboni sikujua yote haya yaliyoendelea humu!!!!
Check ur PM!!!!!
 
maji yana tabia moja, huwa hayazuiliki, yanaonyeswaga njia tu inapobidi. vivyo hivyo na ukweli....huwa haukubali kupindishwa...sasa basi hebu tuache historia ifanye kazi yake apa

CC Arushaone ....kwa kumbukumbu
Lady doctor .....kwa taarifa

BCC KOKUTONA Arabela Filipo Lily Flower Mzee wa Rula PakaJimmy

Kaizer umemaliza swaiba.

Huyu Arushaone ameshakuwa NYUKI WA MASHINE...na Lady doctor ameamua kumhifadhia siri.

Afu anakuja na visingizio vya kustaafu USUWATI.

Umekwisha kazi yako Arushaone...yaani KWISHNEY

CC Mzee wa Rula, PakaJimmy, Filipo Arabela

Rejea safari ya Korogwe....white parrot...stand....JT
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Imebidi nicheke kimoyo moyo, maana nikicheka kwa sauti wacheka nini nitashindwa kueleza kinachonichekesha

Pale upatapo nafasi ya kufurahi na kucheeka! Fanya bila kificho na ikumbatie... Cheka ufurahi hadi unenepe! Lol, na jino la mwisho lionekane. Ili ikitokea wakati wa majonzi, umshukuru Mungu kuwa kuna wakati alikupa furaha na kicheko pia.

Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa........ madam AshaDii utabaki kuwa the queen of JF ever,lol!!!!

I am humbled to be considered so by you. Pamoja Saaana!
 
Last edited by a moderator:
Free Thinker,

Wanasema ng'ombe haozi maini :tongue:. Ule uwezo wa pande zile mie nilisha staafu kabaki mdogo wangu gfsonwin. Na kama ujuavyo baba watoto Kaizer hawezi kutoshelezwa na mmoja :wink2: Hivyo ikabidi mimi na Gf tukubaliane kabisa achague mwingine tumfahamu badala ya kuibiwa huko vichochoroni. Lol.

Nashukuru sana kwa kunilindia huyu baba, ila naombeni mumuache mdogo wangu DEMBA apumuwe! 😛hoto:


Busara hizi AshaDii mke wangu ni wachache sana wanazo ndio maana nilikuoa siku ya kwanza tu nilipokuona, mapenzi yako kwangu na kwa wadogo zako gfsonwin na DEMBA yanafanya niendelee kukupenda mno! family yetu inaendelea kukua na kufanikiwa!
 
Last edited by a moderator:
Pale upatapo nafasi ya kufurahi na kucheeka! Fanya bila kificho na ikumbatie... Cheka ufurahi hadi unenepe! Lol, na jino la mwisho lionekane. Ili ikitokea wakati wa majonzi, umshukuru Mungu kuwa kuna wakati alikupa furaha na kicheko pia.

Dada umenifanya nitabasamu bure.

Yaani mameno yako yamepeenya kabisa na kuingia mahali stahili.
Ni kweli kabisa, we need to be happy and lough today coz tomorrow is not promising

Love you always
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom