englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
hio nyama ya kiumbe gani?
Trueee.aminVery poor people looking for their meal! EPA, RICHMOND etc wanapeta. Mungu wasaidie hawa wanakufa kwa umaskini na njaa!
hio nyama ya kiumbe gani?
Ok ahsante mkuu...Kwa uzoefu wangu kwenye uwindaji, hao jamaa wamenaswa na kichwa cha Ngiri, jaribu kuangalia karibu na mikono ya huyo mwenye T-shirt ya njano utaona yale meno yake. Bei yake vijijini ni kati ya Tsh 2000 mpaka 7000!!! Hao masela wanaonekana walikuwa wanasaka mboga tu.
Mlalahoi ndie anayekandamizwa na kuonewa siku zote!Unyama tu huo. Hao jamaa njaa kali. Si wawakamate basi wauwa tembo tuone?
Nilifikiri kama wewe, hao si njaa tu, mbona wale wanaomaliza tembo hawakamatwi? Faru wote wametoweka, mpaka JK Kaleta Faru wamewalamba, leo hii wanakamatwa watu wenye njaa.Very poor people looking for their meal! EPA, RICHMOND etc wanapeta. Mungu wasaidie hawa wanakufa kwa umaskini na njaa!
Plus KINANAVery poor people looking for their meal! EPA, RICHMOND etc wanapeta. Mungu wasaidie hawa wanakufa kwa umaskini na njaa!