Redcross kuvujisha video za kutisha mpaka tarehe 25

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu. Walahi miye sijui.
 
Hakuna kinacho weza kufichwa na vilaza wa serikali ya ccm kisionekane.hata Hitler ambaye alikuwa na wanascience nguli alishindwa kuficha ,hao vilaza wasio juwa hata kudown load whatsap ndio fwafiche miili zaidi ya 20,000?,
 
Eti Comrade, hivi hawa vijana wanaokutukana kwa bababu tu ya haya maneno yako! Watakuwa wanakuonea, au wako sahihi!

Wakati fulani watu wazima tunatakiwa tujiheshimu kabla ya kuheshimiwa na watu wa rika tofauti na letu.
Freedom of speech hayo ni maoni yao nayapokea na nitayafanyia kazi
 
Peleka upuuzi wako huko
Screenshot_20251116-211800~2.png
 
Nye mwalia mbona bado. Nyie kuna video za kikatili nye. Bado za kuzika maiti na kuchoma zaja. Kaeni kwa kutulia. Wao waua walidhani waficha siye tutafichua. Kuna kubwa lake. Hiyo ni rasharasha. Nye Nye Nye watu wabaya nye. Wachoma maiti nye nye kama ndafu nye. Na bado. Nyumbu mwaka wenyu huu. Walahi miye sijui.

Please release strategically until the doers go burnt-out psychologically
 
Ccm wanapiga hizo video.wajiulize watu WOTE waliouliwa wamepelekwa wapi?.
Hivi Kwa mauaji Yale ni jambo la kushangaa kujaa Kwa maiti monchwari?
 
Back
Top Bottom